Polisi Yasimulia Ilivyowakamata 5 Ofisini kwa Lema

Posted by - October 6, 2020

Polisi Yasimulia Ilivyowakamata 5 Ofisini kwa Lema October 6, 2020 by Global Publishers Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha linawashikiliwa watu watano, ambao liliwakamata wakiwa kwenye ofisi binafsi za mgombea ubunge jimbo la Arusha mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema kwa tuhuma za kuingilia mifumo ya mawasiliano ya kibenki kwa nia ya kufanya uhalifu.   Taarifa

Mondi, Kiba Jino kwa Jino

Posted by - October 6, 2020

Mondi, Kiba Jino kwa Jino October 6, 2020 by Global Publishers JINO kwa jino kati ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi na Ali Kiba ‘King Kiba’ siyo uadui, ni uhasimu wa kimuziki ambao kwa sasa umefikia patamu.   Nani mkali wa Bongo Fleva na mfalme wa muziki huo Bongo baina yao; ndiyo chachandu lenyewe

Kafara ya Harmo Yaanza Kujibu

Posted by - October 6, 2020

Kafara ya Harmo Yaanza Kujibu October 6, 2020 by Global Publishers Kufuatia ripoti zilizoanza kutoka wiki iliyopita za mafanikio ya wasanii kumtaja staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’, kuwa miongoni mwa mastaa wanaovuma zaidi na kuwa na mafanikio makubwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki, watu wametia neno huku ile kafara aliyofanyiwa mapema mwaka huu,

Serikali Yatoa Angalizo Dabi ya Simba na Yanga

Posted by - October 6, 2020

Serikali Yatoa Angalizo Dabi ya Simba na Yanga October 6, 2020 by Global Publishers Serikali imesema imejiandaa kukabiliana na mianya yote ya upigaji iliyokuwa ikiwanufaisha wachache na kusababisha Serikali kukosa mapato stahiki katika tozo rasmi ya malipo halali ya viingilio viwanjani.   Katibu mkuu wa wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Dkt. Hassan Abbas

Google RCS Messaging now live in Kenya bringing new SMS features

Posted by - October 6, 2020

Finally, Messages just got better, and RCS Support has gone live in Kenya. You may have already seen the notification if you use the Android Messages app by Google. If you don’t, install it on your phone now, and set it as your default messaging app to enjoy the new experience. (Link to the app)

Baba Mondi Ahaha Kumtoa Jela Amber Rutty

Posted by - October 6, 2020

Baba Mondi Ahaha Kumtoa Jela Amber Rutty October 6, 2020 by Global Publishers BABA mzazi wa mkali wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Juma amesema amepanga kutafuta fedha za kumnasua jela msanii Rutyfiya Abubakary maarufu kama ‘Amber Rutty’, ambaye hivi karibuni ametupwa lupango sambamba na mumewe Said Bakary.   Amber

Polisi: Tutakesha na Msafara wa Lissu

Posted by - October 6, 2020

Polisi: Tutakesha na Msafara wa Lissu October 6, 2020 by Global Publishers Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa litakesha na Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA), Tundu Lissu kwani ni moja ya kazi yao wakiwa lindo.   Hayo yamesemwa leo na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Wankyo Nyigesa baada ya Lissu

Pendo Msegu: Panya Magawa Mtegua Mabomu Yupo Single

Posted by - October 6, 2020

Pendo Msegu: Panya Magawa Mtegua Mabomu Yupo Single October 6, 2020 by Global Publishers Mkufunzi wa Panya Magawa Pendo Msegu, amesema panya huyo yupo single na hatakiwi kuwa kwenye mahusiano kwa sababu anatakiwa afanye kazi ya kutegua mabomu na kuokoa maisha ya watu wengine.   Pendo Msegu amesema panya huyo yupo kikazi zaidi kwa sasa

Mzee wa Upako awaonya wana siasa na kumtabiri rais ajayo “Amani ya nchi yetu ni muhimu kuliko chochote, fuateni haki na lindeni amani yetu” (+Video)

Posted by - October 6, 2020

Mchungaji wa kanisa la Maombezi GRC la jijini Dar es salaam, Anthony Lusekelo maarufu kama Mzee wa Upako, amefunguka na kuwaomba wana Siasa nchini kudumisha amani ya nchi yetu kwa kutokujali maslahi yao binafsi na badala yake waangalie maslahi ya taifa kwa ujumla.Mzee wa Upako amewaasa vijana wasije kushawishiwa na mtu kufanya fujo kipindi cha

The Tecno Camon 16 Premier Review

Posted by - October 6, 2020

The Tecno Camon series is known for its impressive cameras and the Camon 16 is the latest iteration in this growing series. This is the second Camon device we are seeing from the company this year as we already saw the Camon 15 a few months back. The Tecno Camon 16 builds up on the