Usiku ‘Njoo Mume Wangu Hayupo’ Yamponza

Posted by - October 7, 2020

Usiku ‘Njoo Mume Wangu Hayupo’ Yamponza October 7, 2020 by Global Publishers KYELA: Kisa kifuatacho ni uthibitisho tosha kwamba, mke wa mtu ni sumu, Gazeti la IJUMAA lina kisa na mkasa. ‘NJOO MUME WANGU HAYUPO’ Mkazi wa Kitongoji cha Bondeni ‘B’ Ubalozi Namba 5 Wilaya Kyela jijini Mbeya, Onesmo Nombo (35), yamemfika mazito kisa kuambiwa;

Mzimu wa Lowassa Wamtafuna Membe

Posted by - October 7, 2020

Mzimu wa Lowassa Wamtafuna Membe October 7, 2020 by Global Publishers DAR: WAKATI zikiwa zimebaki siku 25 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu mwaka huu, upepo wa kisiasa kwa mgombea urais wa Chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe umemwendea kombo, baada ya viongozi wa chama hicho, kutangaza kumuunga mkono Lissu, IJUMAA linachambua.   Hatua hiyo

Alshabaab ya wachilia huru mateka wawili raia wa Cuba

Posted by - October 7, 2020

Raia hawa ambao ni maafisa wa Afya waliotumwa Kenya na Cuba kwa makubaliano ya ubadilishanani wa wahudumu wa afya katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili.Madaktari Landy Rodriguez na Herera Correa walivamiwa na wanamugambo hao wa Alshabaab wakitoa huduma za Afya mjini Mandera Kenya uliopo Kazkazini Mashariki na umepakana na nchi ya

Showmax Adds Five Local TV Channels on its Platform

Posted by - October 7, 2020

Showmax, Multichoice’s streaming service, has bolstered its product offerings since the year started. With the introduction of Showmax Pro, Kenyans can now watch all Premier League, Serie A, La Liga, and PSL games as well as a variety of sports events. That is on top of existing Showmax entertainment content which includes local and internal

Ndoa ya Dj Mo na msanii Size 8 mashakani

Posted by - October 7, 2020

Wiki ya pili mfululizo kwasasa, ambapo wakenya mitandaoni wamekua wakijadiliana kuhusu mgongano uliopo kati ya Dj maarufu Africa Dj Mo na msanii wa nyimbo za injili Size 8 ambaye ni mkewe na Dj Mo. Hii ni baada ya video fupi iliovuja ikionyesha Size 8 akimfokea Dj Mo. Mashabiki wakaingilia ndani, huku madai yakiibuka kua Size

Morrison, Mugalu Wateketeza Mamilioni – Global Publishers

Posted by - October 7, 2020

Morrison, Mugalu Wateketeza Mamilioni October 7, 2020 by Global Publishers MASTAA 22, wanaounda kikosi cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara klabu ya Simba wakiwemo, Benard Morrison na Chris Mugalu pamoja na viongozi 11 walioambatana nao wameteketeza mamilioni ndani ya siku tatu tu ambazo walikuwepo jijini Dodoma kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya JKT

Chrome for Android and iOS Starts Sending Alerts when Saved Passwords are Leaked

Posted by - October 7, 2020

Google Chrome is ramping up security protocols and will now tell you if the passwords you’ve asked Chrome to remember have been compromised, and if so, how to fix them. Chrome does this by sending a copy of your usernames and passwords to Google in an encrypted form. These credentials are then checked against lists

Kocha Mpya Yanga Apiga Simu Kambini

Posted by - October 7, 2020

Kocha Mpya Yanga Apiga Simu Kambini October 7, 2020 by Global Publishers HUKU Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Injinia Hersi Said, akisema kuwa watamtangaza rasmi Mrundi, Cedric Kaze kuwa ndiye Kocha Mkuu wa timu hiyo, juzi kocha huyo aliwapigia simu mastaa wa timu hiyo, wakiwa kambini akiwemo