Idris Afunguka Ugomvi na Wema!

Posted by - October 8, 2020

Idris Afunguka Ugomvi na Wema! October 8, 2020 by Global Publishers MCHEKESHAJI maarufu Bongo ambaye ni Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa (BBA) 2014, Idris Sultan amefunguka juu ya kile kinachodaiwa kuwa ana ugomvi mzito na aliyewahi kuwa mpenzi wake (eksi), Wema Isaac Sepetu. Idris amesema kuwa, hakuna ugomvi wowote kati yake na Wema

Alshabaab wa wachilia huru mateka wawili raia wa Cuba

Posted by - October 8, 2020

Raia hawa ambao ni maafisa wa Afya waliotumwa Kenya na Cuba kwa makubaliano ya ubadilishanani wa wahudumu wa afya katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizi mbili.Madaktari Landy Rodriguez na Herera Correa walivamiwa na wanamugambo hao wa Alshabaab wakitoa huduma za Afya mjini Mandera Kenya uliopo Kazkazini Mashariki na umepakana na nchi ya

Benki ya NMB, NHIF waweka historia afya kwa wote

Posted by - October 8, 2020

Benki ya NMB na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) zimeweka historia mpya na ya aina yake nchini kwakuanzisha utaratibu wa kipekee wa bima ya afya utakaowawezesha wananchi wengi kupata huduma hiyo kiurahisina kwa nafuu kubwa kwa kuweka akiba kidogo kidogo kulingana na vipato vyao. Historia hiyo iliandikwa jijini Dar es Salaam baada

Expected Specifications of the Infinix NOTE 8

Posted by - October 8, 2020

There are couple of things about Infinix this year that have changed: First, their launch cycles are now every 6 months for their different series Second, they’re now packing serious processors, with more RAM Third, they’re really focusing on huge displays, though not FULL HD Launch cycles: The Infinix NOTE 7 launched back in April.

Dudu baya amepotea mwezi wa pili sasa, Binti yake athibitisha na kuomba msaada (+Video)

Posted by - October 8, 2020

Kupitia ukurasa wa Instagram wa binti wa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Dudubaya anayejulikana kwa jina la Maria amethibitisha kuwa baba yake ambaye ni anayejulikana kwa jina la Godfrey Tumaini alimaarufu Dudubaya amesema kuwa abba yake amepotea. Kupitia ukurasa huo Maria ameandika kuwa “Msanii wa bongo freva @dudubaya_mamba_oilchafu kapotea tangia 13/8/2020 mpaka ajajulika alipo