Pre-orders for Infinix NOTE 8 start on October 12th

Posted by - October 9, 2020

The upcoming Infinix NOTE 8 series will seemingly be launching quite early. The company has announced pre-orders in Kenya will start on October 12th and run through to October 25th. Those preordering stand to win free gifts worth KES. 5,000 including wireless earbuds, and a smartwatch. Maybe this points out to new earbuds and smartwatches

Afya ya Hrmo, Hofu Yatanda

Posted by - October 9, 2020

Afya ya Hrmo, Hofu Yatanda October 9, 2020 by Global Publishers Hofu inazidi kutanda juu ya afya ya staa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ ambayo inaelezwa kuwa, yupo hatarini kukumbwa na magonjwa ya hatari, yanayoongoza kwa vifo vya binadamu duniani.   TUJIUNGE HAVOC, MASAKI Hivi karibuni, ndani ya ‘club’ ya starehe ya usiku ya

Airtel Inks Deal with Ericsson to modernize its 4G network in Kenya

Posted by - October 9, 2020

Airtel Africa is extending its strategic partnership with Ericsson to enhance its 4G network coverage in Kenya. As a result, the telco company will leverage Ericsson’s Radio Access Network (RAN) and packet core products for its 4G network. The deal is expected to ensure Airtel subscribers experience enhanced quality of voice and data. The duo

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Posted by - October 9, 2020

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa October 10, 2020 by Global Publishers Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= AU Bonyeza kununua >> Championi <<.   AU Bonyeza kununua >> RISASI <<. Toa comment Posted

AUDIO | K2ga – Naipenda Ccm | Download

Posted by - October 9, 2020

Download | K2ga – Naipenda Ccm [Mp3 Audio] Listen to K2ga – Naipenda Ccm byDJ Mwanga on hearthis.at    The post AUDIO | K2ga – Naipenda Ccm | Download appeared first on DJ Mwanga. Source link

Nyimbo Mbili za Zuchu Zawekewa Pingamizi

Posted by - October 9, 2020

Nyimbo Mbili za Zuchu Zawekewa Pingamizi October 9, 2020 by Global Publishers VITA NI VITA MURA! Msemo huo unaotumiwa na baadhi ya watu wa mkoa wa Mara kuchagiza ujasiri pindi kunapotokea hatari, unashabihiana na vita inayowakabili wasanii kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) baada ya kudaiwa kuiba mashairi na kuiga vipande vya video na

Mobile Subscriptions in Kenya Rise to 57 Million

Posted by - October 9, 2020

The Communication Authority of Kenya, CA, has released the latest Sector Statistics report giving an overview of the general performance of the ICT sector. The report includes various categories from Mobile Telephony, Fixed Telephony, Data / Internet Services, to the Cyber Security Landscape and Postal Services. The latest sector statistics report indicates growth in mobile

Mwanafunzi Ajiua kwa Kukataliwa Urafiki

Posted by - October 9, 2020

Mwanafunzi Ajiua kwa Kukataliwa Urafiki October 9, 2020 by Global Publishers KATI ya kuacha kuwa na marafi ki wa kiume na kufa, unachagua nini? “Nachagua kufa,” ndivyo mwanafunzi wa Kidato cha Pili Shule ya Sekondari ya Kyela mkoani Mbeya, Grace Gowele ‘15’ alivyochagua baada ya kujinyonga kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kupinga agizo la baba

Uongozi wa Nchi si Jambo la Mzaha wala Majaribio-Majaliwa

Posted by - October 9, 2020

Uongozi wa Nchi si Jambo la Mzaha wala Majaribio-Majaliwa October 9, 2020 by Denis Mtima Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Lushoto wakati alipowaomba wampigie kura mgombea Urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli, Oktoba 9, 2020. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu