Tambwe Afichua Siri za Kocha Yanga

Posted by - October 10, 2020

Tambwe Afichua Siri za Kocha Yanga October 10, 2020 by Global Publishers MSHAMBUALIAJIwa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe amefunguka kuwa Yanga imepata bonge la Kocha Cedric Kaze ambaye anapenda soka la pasi za chini huku akiwatahadharisha wapinzani wao wajipange kwa soka tamu la pasi. Tambwe ametoa kauli hiyo baada ya uongozi wa Yanga kumalizana

Tuwalinde Watoto Dhidi Ya Ukatili – Msajili Mahakama Kuu

Posted by - October 10, 2020

Tuwalinde Watoto Dhidi Ya Ukatili – Msajili Mahakama Kuu October 10, 2020 by Bukos Hakimu Mwandamizi Rhoda Ngimilanga akichangia mada kwenye semina hiyo. Jamii imeaswa kuonesha ushirikiano pindi mtoto anapofanyiwa ukatili ikiwemo kupigwa, kubakwa na kulawitiwa ili kuwalinda na kupata Taifa bora la badaye. Hayo yamesemwa mapema leo na Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Kanda

Mashabiki Wamtibua Fahyma – Global Publishers

Posted by - October 10, 2020

Mashabiki Wamtibua Fahyma October 10, 2020 by Global Publishers MJINI usipomposti mtu Instagram, watasema una roho mbaya, ukimposti bado watasema unajipendekeza, yaani ilimradi tu waongee.   Hiki ndicho kilichomkuta mwanamitindo chipukizi Bongo Faima Msenga ‘Fahyma’ hivi karibuni baada ya kumposti msanii wa muziki wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ na kumtakia heri kwenye siku yake

Warizi Mkuu Mgeni Rasmi Mechi ya Taifa Stars na Burundi

Posted by - October 10, 2020

Warizi Mkuu Mgeni Rasmi Mechi ya Taifa Stars na Burundi October 10, 2020 by Global Publishers WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ndiye atakuwa mgeni rasmi wa mechi ya kirafiki ya kimataifa, ambapo Taifa Stars kesho Jumapili Oktoba 11, 2020 itaikaribisha Burundi, Uwanja wa Benjamini Mkapa, Dar es Salaam.   Kwa mujibu wa Katibu Mkuu

Uchebe – “Nina Mpenzi Mpya, Mwanaume Hana Kifua Kama Mdoli Tu”- Video

Posted by - October 10, 2020

Uchebe – “Nina Mpenzi Mpya, Mwanaume Hana Kifua Kama Mdoli Tu”- Video October 10, 2020 by Global Publishers  GLOBAL TV imepiga stori na  aliyekuwa mume wa mwanamuziki Shilole, Uchebe kuhusiana na maisha yake kwa ujumla baada ya kuachana na mkewe huyo. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx Toa comment

Harmo Awaacha Njia Panda Mashabiki Zake

Posted by - October 10, 2020

Harmo Awaacha Njia Panda Mashabiki Zake October 10, 2020 by Global Publishers HIVI karibuni msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajabu Abdul ‘Harmonize’ aliwaacha njia panda mashabiki zake baada ya kuposti picha ya mwanaume mmoja akiwa na watoto wawili kwenye akaunti yake ya Insta stori na kuandika ‘Thank you God’ akiwa na maana ya asante

Kanisa katoliki lamtangaza mtakatifu mpya wa aina yake, Carlo Acutis (+Video)

Posted by - October 10, 2020

Kanisa Katoliki limepata baraka mpya Oktoba 10, kwa namna ya kipekee mno : Mshawishi ambaye mwili wake umeoneshwa kwenye laba,jeans na sweta. Leo hii Carlo Acutis anatangazwa kuwa mtakatifu katika mji wa Assisi, jimbo la Perugia, Italia. Acutis alifariki akiwa na umri wa miaka 15 kutokana na kansa ya damu mnamo Oktoba 12, 2006. Kijana