“Trump hawezi kuambukiza Corona” – Daktari – Dar24

Posted by - October 11, 2020

Daktari wa Ikulu ya Marekani, Sean Conley amesema, Rais wa nchi hiyo Donald Trump hayumo tena katika kitisho cha kuweza kuambukiza virusi vya Corona.  Taarifa hiyo ya uchunguzi wa kitabibu imetolewa katika kipindi ambacho rais Trump anajiandaa kuanzisha upya mikusanyiko ya kampeni na matukio mengine.  Daktari huyo amesema Trump ametimiza vigezo vya usalama vya Vituo

Bad News: Moto Wazuka Mlima Kilimanjaro

Posted by - October 11, 2020

Bad News: Moto Wazuka Mlima Kilimanjaro October 11, 2020 by Global Publishers     Moto umezuka katika Mlima Kilimanjaro leo, Jumapili, Oktoba 11, 2020, mchana na jitihada za kuuzima bado zinaendelea.   Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) kupitia akaunti yake ya Twitter imethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Aidha, chanzo cha moto

Watu 18 wauawa kwenye mapambano kati ya koo mbili – Dar24

Posted by - October 11, 2020

Watu 18 wameuawa kufuatia mapigano mapya yaliyozuka kati ya koo mbili usiku wa kuamkia Jumamosi, katika jimbo la Warrap lililopo Kaskazini mwa Sudan Kusini.   Kamishna wa eneo hilo Samuel Awan, amesema watu 34 walijeruhiwa kwenye mapigano hayo wakati ambapo uhasama unaongezeka kwenye maeneo ya vijijini nchini humo. Mapigano hayo kati ya koo mbili zinazopingana,

Kanisa Katoliki lamtangaza Mtakatifu mpya – Dar24

Posted by - October 11, 2020

Kanisa Katoliki limepata baraka mpya kwa namna ya kipekee mno, kwa kumtangaza Mtakatifu, Carlo Acutis mshawishi ambaye mwili wake umeoneshwa kwenye laba, jeans na sweta, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Francis wa Assisi, Jumamosi Oktoba 10 2020, katika mji wa Assisi, jimbo la Perugia, Italia. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Vatican, Kijana huyo mdogo alijulikana

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Posted by - October 11, 2020

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa October 11, 2020 by Global Publishers Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa kununua >> SpotiXtra<< AU Hapa>> SpotiXtra<<       AU Bonyeza hapa >> AMANI  << Toa

Taifa Stars Tutoeni Kimasomaso Leo Uwanja wa Mkapa

Posted by - October 11, 2020

Taifa Stars Tutoeni Kimasomaso Leo Uwanja wa Mkapa October 11, 2020 by Global Publishers LEO Jumapili pale Uwanja wa Mkapa jijini Dar, Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kukipiga dhidi ya Timu ya Taifa ya Burundi, Intamba m’Urugamba, katika mchezo wa kirafiki uliopo kwenye Kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).

Taifa Stars Yapoteza Mbele Ya Burundi Kwa Mkapa leo

Posted by - October 11, 2020

Taifa Stars Yapoteza Mbele Ya Burundi Kwa Mkapa leo October 11, 2020 by Global Publishers TIMU ya Taifa Tanzania ya Tanzania leo imepoteza kwa kufungwa bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Kwenye mchezo wa leo ambao mgeni rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kipindi cha kwanza timu

Halima Mdee Afungiwa Siku 7 Kufanya Kampeni

Posted by - October 11, 2020

Halima Mdee Afungiwa Siku 7 Kufanya Kampeni October 11, 2020 by Global Publishers Kamati ya Maadili imemfungia Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Kawe kwa tiketi ya Chadema, Halima Mdee kufanya kampeni kwa siku saba kuanzia Oktoba 12 hadi 18, mwaka huu kwa kukiuka maadili ya uchaguzi. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Halima Mdee ameandika;

Ndugai: Hii Ni Awamu Yangu Ya Mwisho, Sitagombea Ubunge Tena

Posted by - October 11, 2020

Ndugai: Hii Ni Awamu Yangu Ya Mwisho, Sitagombea Ubunge Tena October 11, 2020 by Global Publishers Mbunge Mteule wa Jimbo la Kongwa, Job Ndugai,  leo Oktoba 11, 2020 amesema hii ni awamu yake ya mwisho kugombea ubunge hivyo amewataka wenye nia njema ya kuliongoza jimbo hilo kujiandaa na kujipanga Ndugai ametoa kauli hiyo leo asubuhi

CCM Yatoa Ratiba Ya Kampeni Za Magufuli Dar

Posted by - October 11, 2020

CCM Yatoa Ratiba Ya Kampeni Za Magufuli Dar October 11, 2020 by Global Publishers Ratiba ya Mikutano ya Mgombea wa nafasi ya Rais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), na Rais wa Tanzania, Ndg. John Pombe Magufuli katika Jiji la Dar Es Salaam. Toa comment Posted from