Cioaba: Azam Hatuna Presha na Simba, Yanga

Posted by - October 12, 2020

Cioaba: Azam Hatuna Presha na Simba, Yanga October 12, 2020 by Global Publishers KOCHA Mkuu wa Azam FC, Mromania, Aristica Cioaba amesema kuwa hawezi kuwa na presha yoyote kutoka kwa wapinzani wake wakiwemo Simba na Yanga kwa kuwa wao ndiyo wanaongoza ligi.   Azam inaongoza ligi ikiwa na pointi 15 baada ya kucheza mechi tano,

Roma Awalipua Madaktari Hawa! – Global Publishers

Posted by - October 12, 2020

Roma Awalipua Madaktari Hawa! October 12, 2020 by Global Publishers RAPA maarufu nchini Tanzania ambaye kwa sasa yupo Marekani, Roma Mkatoliki, amefunguka ya moyoni kuhusu baadhi ya madaktari kutaka wajawazito wanaokwenda kujifungua wafanyiwe upasuaji badala ya kujifungua kwa njia ya kawaida kwa kisingizio cha njia ndogo ya mtoto kupita.   Kupitia akaunti yake ya Instagram,

TECNO Camon 16 (Normal) Specifications and Price

Posted by - October 12, 2020

In the TECNO Camon 16 Series, there’s a couple of devices: TECNO Camon 16 Premier, Camon 16 Normal version, and we may later on see the Camon 16 Air. The Camon 16 Premier, which we’ve already seen is the most expensive in the series. It packs so much, and is very worthy of its pricing.

Straika Simba Afichua Staili ya Kocha Yanga

Posted by - October 12, 2020

Straika Simba Afichua Staili ya Kocha Yanga October 12, 2020 by Global Publishers MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo amefunguka kuwa Yanga ina bahati kubwa ya kuweza kumnasa kocha Cedric Kaze kwa kuwa anaamini sasa wanaweza kucheza soka la pasi katika uwanja wowote wataokwenda kucheza kutokana na kocha huyo kuwa na utalaam huo.

Simba Yampa Mugalu Dakika 180 za Mauaji

Posted by - October 12, 2020

Simba Yampa Mugalu Dakika 180 za Mauaji October 12, 2020 by Global Publishers NYOTA wa Simba mwenye zali la kutupia kwenye kila mechi ndani ya Ligi Kuu Bara, Chris Mugalu ametengewa dakika 180 za kujiweka sawa kabla ya kuvaana na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 22.   Mugalu amefunga

Luis Aweka Rekodi Mpya Simba SC

Posted by - October 12, 2020

Luis Aweka Rekodi Mpya Simba SC October 12, 2020 by Global Publishers KIUNGO mshambuliaji wa Simba raia wa Msumbiji Luis Miqquisone, ametengeneza rekodi ya kwanza kuwa mchezaji anayeongoza kwa kuwa na kadi nyingi za njano katika kikosi hicho.   Nyota huyo hivi karibuni aliweka rekodi ya kupiga asisti tatu katika mchezo mmoja wa Ligi Kuu

Over 55Pc of Kenyans with Fixed Internet Pay for Speeds Between 2-10Mbps

Posted by - October 12, 2020

The number of mobile data subscribers has just surpassed the 40 million mark while the fixed broadband market has also recorded the highest number of subscriptions yet. For the first time, fixed internet subscribers have crossed the 600k milestone. According to a recent report, as of June, there were 619,579 fixed internet subscribers in Kenya.

Wahukumiwa Kwa Kuisababishia Hasara Ya Mil 16 TCRA

Posted by - October 12, 2020

Wahukumiwa Kwa Kuisababishia Hasara Ya Mil 16 TCRA October 12, 2020 by Denis Mtima         Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu wafanyabiashara wanne wakiwemo rai wawili wa kigeni  kulipa fidia  ya shilingi  Milioni kumi na sita kwa kosa la kuisababishia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA hasara ya zaidi ya shilingi milioni kumi

Msanii wa Kiume Anayejipaka Rangi Kucha Aanika Mazito

Posted by - October 12, 2020

Msanii wa Kiume Anayejipaka Rangi Kucha Aanika Mazito October 12, 2020 by Global Publishers Baada ya kuzungumziwa sana kwa kupaka rangi kucha zake msanii Rhino King amezua jipya kwa kujibu kuhusu hilo ambapo amesema hapaki rangi za bei rahisi, gharama zake anazotumia yeye ni kuanzia shilingi laki moja.   Rhino King ameeleza kuwa; “Nimeanza kupaka