Bifu la Mondi, Harmo la Moto!

Posted by - October 13, 2020

Bifu la Mondi, Harmo la Moto! October 13, 2020 by Global Publishers BIFU la mastaa wawili wakubwa wa Bongo Fleva na mabosi wa lebo za muziki Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’ na Rajab Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’, limezidi kuwa la moto mno.   Hilo limezidi kuthibitika Ijumaa iliyopita, wakati wa kampeni za Chama

JPM: Wapo baadhi ya wagombea wanasema hata hilo daraja waliliomba wao, washindwe na midomo yao ya uongo

Posted by - October 13, 2020

“Wapo baadhi ya wagombea wanasema hata hilo daraja waliliomba wao, washindwe na midomo yao ya uongo, wapo wengine wanasema hata zile barabara nane pamoja na service road wamezileta wao, yani uongo wa hadharani” View this post on Instagram —————————————————————————————————————————————————————"Wapo baadhi ya wagombea wanasema hata hilo daraja waliliomba wao, washindwe na midomo yao ya uongo, wapo

Churchill show ya nchini Kenya yampoteza mcheshi wao mwingine

Posted by - October 13, 2020

Kama wewe ni mpenzi wa buradani ya sanaa ya ucheshi Africa, basi Churchill show haiwezi kua kitu kigeni kwako. Ni kati ya ukumbi unaotumika kukuza vipaji vya wacheshi nchini Kenya na baadhi ya mastaa wakubwa kama Eric Omondi walipitia hapa kabla ya kuinuka na ulimwengu kuwakubali. Show hii ambayo mwasisi wake ni mcheshi maarufu Daniel

Khalighraph Jones na Msanii Adasa waingia studio

Posted by - October 13, 2020

Baada ya Khaligraph Jones kumusifia Msanii Adasa ambae kila uchao anaonekana kukaza kamba za kulenga kufikia malengo ya juu, staa huyo na rapper mkali Africa amethibitisha kuingia studio na nyota huyu anaekua kwa kasi Adasa. Kupiti akaunti yake ya instagram Adasa alirusha video fupi ikimuonyesha Khaligraph akifurahia moja kati ya muziki wake kwa jina tunaenda,

Namfagilia sana Khalighraph akiri Gavana Alfred Mtua

Posted by - October 13, 2020

Msanii Khalighraph Jones anazidi kupata sifa nchini Kenya, hii ni baada ya leo kukutana na Gavana wa jimbo la Machakos Alfred Mtua. ” Kwakweli acha ni msifie OG, napenda kazi zake na anabidii ya mchwa.” amefunguka Gavana Mtua. Khalighraph Jones ametokea kupendwa na mashabiki wa kila rika na hii imemueka kwenye ramani ya juu katika

Ronaldo akutwa na Virusi vya Corona 

Posted by - October 13, 2020

Cristiano Ronaldo amekutwa na virusi vya Corona na sasa ataukosa mchezo wa siku ya Jumatano ambapo Ureno itawakabili Sweden. Ronaldo akutwa na Virusi vya Corona Nyota huyo mwenye umri wa miaka 35, tayari ameshajitenga ili kuepusha kuusambaza ugonjwa huo kwa mtu wingine. Taarifa zimekuja mara baada ya mshindi huyo mara tano ya tuzo ya Ballon

Dulla Makabila aeleza alivyoumizwa na mpenzi wake ambaye alitaka kumuoa (Video)

Posted by - October 13, 2020

Msanii wa muziki @dullamakabila amefunguka kuzungumzia jinsi alivyoumizwa kimapenzi na aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni daktari . Mapema wiki hii muimbaji huyo wa Singeli aliandika ujumbe mzito mtandaoni akionyesha jinsi alivyoingizwa mkenge. The post Dulla Makabila aeleza alivyoumizwa na mpenzi wake ambaye alitaka kumuoa (Video) appeared first on Bongo5.com. Posted from

Polisi Belarus ruksa kutumia silaha za moto kukabiliana na waandamanaji

Posted by - October 13, 2020

Polisi wa Belarus wameruhusiwa kutumia silaha za moto kukabiliana na waandamanaji pale inapolazimika kufanya hivyo huku serikali ya Minsk ikilaani maandamano yenye msimamo mkali dhidi ya serikali. Vikosi vya usalama viliwakamata watu 713 siku ya Jumapili na kutumia maji ya kuwasha na fimbo kuwatawanya waandamanaji wanaotaka uchaguzi mpya wa urais. Maelfu ya raia wa Belarus