Jembe Jipya Yanga Kufuru, Lawafunika Chama, Luis

Posted by - October 14, 2020

Jembe Jipya Yanga Kufuru, Lawafunika Chama, Luis October 14, 2020 by Global Publishers SAHAU kuhusu umri wake wa miaka 33, imebainika kwamba thamani ya jembe jipya la Yanga, Saidi Ntibazonkiza raia wa Burundi ni kufuru kwani amewafunika nyota wote wa Bongo wakiwemo viungo wa Simba, Luis Miquissone na Clatous Chama.   Kwa mujibu wa mtandao

Kiba Avunja Ukimywa Mbele ya JPM, Awaombea Pesa Bongo Movie – Video

Posted by - October 14, 2020

Kiba Avunja Ukimywa Mbele ya JPM, Awaombea Pesa Bongo Movie – Video October 14, 2020 by Global Publishers MFALME wa Bongo Fleva, Alikiba ameiomba Serikali kutoa fedha ambazo zitasaidia wasanii hasa wa Bongo Movie kutengeneza filamu maalum itakayosaidia jamii kuelewa maisha aliyoyaishi hayati Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere.   Kiba amesema hayo leo

Aunt Afunguka Siri Nzito Mimba Yake, Kusah…. – Video

Posted by - October 14, 2020

Aunt Afunguka Siri Nzito Mimba Yake, Kusah…. – Video October 14, 2020 by Global Publishers #Exclusive: STAA wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel amefunguka siri nzito ya mimba yake, Kuhusu Kusah….. Stori bado ya moto…. Wahi YouTube ya Global TV Online sasa.  Toa comment Posted from

Mama Aliyemtupa Mtoto Wake Mtoni Apimwa Akili

Posted by - October 14, 2020

Mama Aliyemtupa Mtoto Wake Mtoni Apimwa Akili October 14, 2020 by Global Publishers   Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera, linatarajia kupeleka kwenye ofisi ya mashtaka jalada la kesi ya mwanamke Herieth Pontian (27), anayetuhumiwa kumtupa mwanaye wa kumzaa mtoni akiwa hai na hatimaye kufariki, mara baada ya uchunguzi huo kukamilika.   Taarifa hiyo imetolewa

Wazungu Wawawekea Mamilioni Mastaa Bongo

Posted by - October 14, 2020

Wazungu Wawawekea Mamilioni Mastaa Bongo October 14, 2020 by Global Publishers HII inaweza kuwa good news kwa mastaa Bongo! Wazungu kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii, wamewatengea mamilioni ya shilingi, mastaa wanaozalisha kazi mbalimbali za sanaa Bongo, IJUMAA WIKIENDA linakupa mchongo kamili.   WENGI HAWAJUI… Habari iwafi kie, moja kati ya vitu ambavyo kumbe wasanii wengi

Ofisi ya Bobi Wine yavamiwa, CCTV zachukuliwa (+Video)

Posted by - October 14, 2020

Ofisi ya chama cha mgombea wa Urais nchini Uganda Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine imevamiwa na makumi ya wanajeshi wenye silaha pamoja na maafisa wa polisi. Nyaraka zimeripotiwa kuchukuliwa kutoka kwenye ofisi pamoja na kofia yenye muundo wa kijeshi na magwanda vimechukuliwa. Kamera za CCTV pia zimechukuliwa. Mmoja wa washauri wa Bobi meiambia BBC

Netflix stops offering free trial

Posted by - October 14, 2020

Netflix has quietly removed free trials from its platform. That means if you wish to enjoy the Netflix experience, the only way is to pay. According to a support page, “Free trials are not available, but you can still sign up and take advantage of all Netflix has to offer.” This applies to most countries

3 New Job Opportunities at SHDEPHA+ MPANDA – Retention Officers

Posted by - October 14, 2020

SHDEPHA Jobs in Tanzania 2020: New Job Vacancies at SHDEPHA Tanzania 2020 Retention Officers (3 Post)SHDEPHA+ MPANDA Job Summary Retention Officer will be responsible in ensuring all new HIV/AIDS Positive diagnosed clients are linked in care and treatment and retain them in care Recommended: BackgroundSHDEPHA+ is an acronym for Service, Health, and Development for People