Liverpool Wataisimamisha Everton Merseyside Derby?

Posted by - October 16, 2020

Liverpool Wataisimamisha Everton Merseyside Derby? October 16, 2020 by cshechambo LIGI kuu ya soka nchini England inarejea tena wikiendi hii baada ya mapumnziko mafupi kupisha mechi mbalimbali za kimataifa, na macho na masikio ya wengi yatakuwa katika Jiji la Liverpool kwenye dabi maarufu kama Merseyside, ambapo Everton watawakaribisha mabingwa watetezi wa EPL na majirani zao,

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa

Posted by - October 16, 2020

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Risasi kirahisi zaidi hapa October 17, 2020 by Global Publishers Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Risasi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= AU Bonyeza kununua >> Championi <<     RISASI AU Bonyeza kununua >> RISASI<< AU Bonyeza

Prince Dube Ataja Kinachomtesa VPL

Posted by - October 16, 2020

Prince Dube Ataja Kinachomtesa VPL October 16, 2020 by Global Publishers STRAIKA wa Azam FC, Prince Dube amefunguka kuwa hafurahii timu yake inapocheza kwenye baadhi ya viwanja vya mikoani kutokana na kwamba haviifanyi timu hiyo kucheza mpira ambao ameuzoea.   Straika huyo ameongeza kwamba katika viwanja hivyo pia wachezaji wanaovitumia wamekuwa wakitumia nguvu zaidi tofauti

Exclusive: Mtoto wa Dudubaya Aomba Msaada “Hatujui Baba Alipo”

Posted by - October 16, 2020

Exclusive: Mtoto wa Dudubaya Aomba Msaada “Hatujui Baba Alipo” October 16, 2020 by Global Publishers   DAR: Baada ya kusambaa kwa taarifa ya kupotelea kusikojulikana kwa takriban miezi miwili kwa msanii wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudu baya’ huku kukiwa na hofu ya kuuawa, mwanaye Maria Godfrey ameibuka na mapya.   Maria anayeishi Kirumba jijini

Senzo Amkaribisha Kocha Mpya Yanga -Video

Posted by - October 16, 2020

Senzo Amkaribisha Kocha Mpya Yanga -Video October 16, 2020 by Global Publishers MSHAURI  wa uongozi wa Klabu ya Yanga, Senzo Mazingiza, leo Oktoba 16, 2020, amemkaribisha klabuni hapo kocha mpya, Cedric Kaze, na kumhakikishia ushirikiano wa kutosha kutoka kwa uongozi,  kamati za klabu hiyo na  mashabiki. Naye Senzo, pamoja mambo mengine,  amekishukuru kituo cha Azam

AUDIO | Udoudo – Majanga | Download

Posted by - October 16, 2020

Download | Udoudo – Majanga [Mp3 Audio] Listen to Udoudo – Majanga byDJ Mwanga on hearthis.at   The post AUDIO | Udoudo – Majanga | Download appeared first on DJ Mwanga. Source link