Ajinyonga baada kuzuiliwa kurudi usiku – Dar24

Posted by - October 17, 2020

Mwanafunzi aliyemaliza darasa la 7 wiki iliyopita katika shule ya msingi Njungwa, Kijiji cha  Ngayaki wilayani Gairo, Rahel Yohana (14), amekutwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kanga huku chanzo kikitajwa ni ugomvi kati yake na mama yake mzazi aliyekuwa akimkataza kurudi nyumbani usiku. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Wilbroad

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Posted by - October 17, 2020

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa October 18, 2020 by Global Publishers Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Bonyeza hapa kununua >> SpotiXtra<< AU Hapa>> SpotiXtra<<   AU Bonyeza hapa >> AMANI  << Toa comment Posted

Polepole: Mgombea Anawaambia Polisi ‘Nipigeni Risasi’ – Video

Posted by - October 17, 2020

Polepole: Mgombea Anawaambia Polisi ‘Nipigeni Risasi’ – Video October 17, 2020 by Global Publishers  KATIBU Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole, leo Oktoba 17, amezungumza na wanahabari na kutoa tathmini ya kampeni zao kuelekea Oktoba 28, siku ya uchaguzi mkuu mwaka huu 2020.   “Kumekuwa na kauli za uchochezi, mgombea urais wa

Bale Kuanza Kukiwasha Premier Kesho

Posted by - October 17, 2020

Bale Kuanza Kukiwasha Premier Kesho October 17, 2020 by Global Publishers TOTTENHAM wanatarajiwa kuwa uwanjani kesho Jumapili kwa kukipiga dhidi ya West Ham United, ni mchezo wa Premier League na kuna taarifa kuwa Jose Mourinho anaweza kumpa nafasi ya kuanza katika kikosi cha kwanza staa wake, Gareth Bale.   Ikiwa Bale atapata nafasi ya kuichezea

Pawa Yako ya Kushinda Kiasi KIKUBWA na betPawa

Posted by - October 17, 2020

Pawa Yako ya Kushinda Kiasi KIKUBWA na betPawa October 17, 2020 by Global Publishers Pawa Yako ya kushinda kiasi KIKUBWA na betPawa ipo juu zaidi ahsante kwa 500% ya bonasi mpya za ushindi. Wateja wa betPawa wanabashiri na kiasi kidogo kuanzia TSh1 na kupata ushindi wa bonasi kwenye kila mkeka wenye mechi 3 na zaidi,

Hoja Tano za Muungano Zapatiwa Ufumbuzi – Video

Posted by - October 17, 2020

Hoja Tano za Muungano Zapatiwa Ufumbuzi – Video October 17, 2020 by Global Publishers Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) leo Jumamosi Oktoba 17, 2020 Ikulu Dar es Salaam zimesaini hati za makubaliano kuondoa hoja za muungano zilizopatiwa ufumbuzi.   Akizungumza katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa

Facebook Marketplace officially available in Kenya

Posted by - October 17, 2020

Facebook has today announced the official rollout of Marketplace, a product that Facebook says offers a convenient destination where Facebook users can discover, buy and sell items from others in their local communities. With the effects of COVID-19 pandemic on businesses, Facebook Marketplace will make it easier for people in Kenya to find the things

Mwanafunzi Ajinyonga Kisa Kugombezwa – Global Publishers

Posted by - October 17, 2020

Mwanafunzi Ajinyonga Kisa Kugombezwa October 17, 2020 by Global Publishers MWANAFUNZI aliyemaliza darasa la saba wiki iliyopita katika shule ya msingi Njungwa, Kijiji cha Ngayaki wilayani Gairo, amekutwa amejinyonga hadi kufa kwa kutumia khanga huku chanzo kikitajwa ni ugomvi kati yake na mama yake mzazi aliyekuwa akimkataza kurudi nyumbani usiku.   Akithibitisha kutokea kwa tukio