Rais Magufuli Amkabidhi Nyumba Rais Mstaafu Mwinyi – Video

Posted by - October 18, 2020

Rais Magufuli Amkabidhi Nyumba Rais Mstaafu Mwinyi – Video October 18, 2020 by Global Publishers Rais Magufuli akiwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Nyumba maalumu iliyojengwa na serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa

JPM Atembelea Ujenzi wa Nyumba Maalumu Ya Kikwete

Posted by - October 18, 2020

JPM Atembelea Ujenzi wa Nyumba Maalumu Ya Kikwete October 18, 2020 by Global Publishers Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 18, 2020 ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba maalumu ya Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. Rais Magufuli akiteta Jambo na

Fei Toto Ampa Tano Kaze

Posted by - October 18, 2020

Fei Toto Ampa Tano Kaze October 18, 2020 by Global Publishers KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema kuwa anaamini mbele ya kocha mpya wa timu hiyo, Cedric Kaze, kikosi chao kitafanya vizuri msimu huu kwa kupata ushindi katika michezo ya ligi kuu na michuano mingine.   Juzi Ijumaa, Kaze alisaini mkataba wa miaka

RC Kunenge Afanya Ziara ya Kushtukiza Usiku Atoa Maagizo

Posted by - October 18, 2020

RC Kunenge Afanya Ziara ya Kushtukiza Usiku Atoa Maagizo October 18, 2020 by cshechambo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amefanya ziara ya kustukiza Usiku wa manane kwenye miradi mitatu mikubwa ikiwemo ya Ujenzi wa Machinjio ya kisasa Vingunguti, Soko la Kisutu na ujenzi wa Stendi ya kisasa Mbezi Louis kujionea

SGA Yatoa Vifaa Vya Michezo Shuleni

Posted by - October 18, 2020

SGA Yatoa Vifaa Vya Michezo Shuleni October 18, 2020 by Bukos Mkurugenzi Mtendaji wa SGA Security, Eric Sambu (kulia) akikabidhi vifaa vya michezo kwa Mkuu wa Shule ya Msingi Mirambo ya Jijini Dar es Salaam, Rehema Matomoki huku mmoja wa walimu wa shule hiyo wakishuhudia. KAMPUNI ya ulinzi ya SGA imetoa vifaa vya michezo katika

Kagere Azua Hofu Simba, Kuwakosa Yanga

Posted by - October 18, 2020

Kagere Azua Hofu Simba, Kuwakosa Yanga October 18, 2020 by Global Publishers HII inaweza kuwa habari mbaya sana kwa Simba baada ya straika wao Mnyarwanda, Meddie Kagere kuwa hatarini kuikosa mechi ya watani wa jadi dhidi ya Yanga kutokana na majeraha.   Taarifa hizo zimezua hofu kwa Wanasimba na huenda straika huyo akaikosa mechi hiyo

Katwila Abwaga Manyanga Mtibwa Sugar

Posted by - October 18, 2020

Katwila Abwaga Manyanga Mtibwa Sugar October 18, 2020 by cshechambo   IMEELEZWA kuwa, Zuber Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amebwaga manyanga kutokana na timu hiyo kuwa na matokeo ya kusuasua kwa msimu wa 2020/21.   Katwila ambaye alikuwa mchezaji wa zamani wa timu hiyo na alikuwa nahodha kwa sasa hayupo na timu kambini Morogoro

Rais Magufuli Amjulia Hali Mama Anna Mkapa Jijini Dar Leo

Posted by - October 18, 2020

Rais Magufuli Amjulia Hali Mama Anna Mkapa Jijini Dar Leo October 18, 2020 by Global Publishers Rais Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa,walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili RAIS wa Jamhuri ya

Mwafrika apigwa faini Ufaransa kwa kuiba sanamu ya Afrika jijini Paris

Posted by - October 18, 2020

Mwanaharakati mwenye asili ya Jamhuri wa Kidemokrasia ya Congo ametozwa faini ya euro 1000 kwa kuondoa sanamu ya Afrika kutoka makumbusho moja ya Paris katika maandamano ya kupinga wizi wa sanaa za Afrika kulikotekelezwa enzi ya ukoloni yanayolenga Ufaransa. Emery Mwazulu Diyabanza alichukua sanamu ya mbao ya karne ya 19 kutoka makumbusho ya Quai Branly