Watano Familia Moja Waliokufa Dar Wazikwa Buchosa

Posted by - October 19, 2020

Watano Familia Moja Waliokufa Dar Wazikwa Buchosa October 19, 2020 by Global Publishers WATU watano wa familia moja akiwemo mama, watoto wake watatu na wifi yake, waliopoteza maisha baada ya nyumba yao kuwaka moto majira ya saa nne usiku wa kuamkia Oktoba 14, mwaka huu katika eneo la Pugu CCM Kirumba jijini Dar es Salaam

Maendeleo Ujenzi Daraja la Wami – Picha

Posted by - October 19, 2020

Maendeleo Ujenzi Daraja la Wami – Picha October 19, 2020 by cshechambo Taswira ya daraja la sasa la Wami linalotumika lenye urefu wa mita 88.75, lililopo mkoani Pwani. Daraja hilo ni kiungo muhimu kati ya Chalinze na mikoa ya kaskazini na nchi jirani. Mwonekano wa hatua za ujenzi wa daraja jipya la Wami ambalo litakuwa

Cavani Aanza Mazoezi, Tayari Kuwavaa PSG

Posted by - October 19, 2020

Cavani Aanza Mazoezi, Tayari Kuwavaa PSG October 19, 2020 by cshechambo Hatimaye Mshambuliaji mpya wa timu ya Manchester United, Edison Cavani ambaye alisajiliwa dakika za lala salama kutoka Paris Saint-Germain (PSG), ameanza mazoezi jana Jumapili na kikosi cha kwanza baada ya kukamilisha wiki mbili za kujiweka  karantini nchini England.   Cavani ambaye analipwa Pauni laki

Nokia 2.4 now available in Kenya

Posted by - October 19, 2020

HMD Global has today announced the availability of Nokia 2.4 in Kenya.The next generation Nokia 2 brings advanced AI imaging features including Night mode and Portrait mode, helping to take your photos to the next level. See the bigger picture and do more for longer – watch, learn and create on the large 6.5” HD+

Maua Sama; Mgonjwa wa Hip Hop!

Posted by - October 19, 2020

Maua Sama; Mgonjwa wa Hip Hop! October 19, 2020 by Global Publishers HUWEZI kukamilisha orodha ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri Bongo, halafu jina la Maua Sama likawa halijaingia kwenye orodha yako. Hauwezi kuacha kumtaja msanii huyu kwani, ameweza kujitengenezea jina kwa kuachia mikwaju mikali kama vile Niteke, Nioneshe na Iokote.   Risasi limeweza kufanya

NASA selects Nokia to take 4G to the moon

Posted by - October 19, 2020

Nokia has been selected by NASA to build the first LTE/4G communications system in space. The presence of a 4G network on the moon will help NASA in its mission towards a sustainable human presence on the lunar surface. “Reliable, resilient and high-capacity communications networks will be key to supporting sustainable human presence on the

Mimba za Mobeto kwa Mondi Zamshtua Zari

Posted by - October 19, 2020

Mimba za Mobeto kwa Mondi Zamshtua Zari October 19, 2020 by Global Publishers     KAULI ya mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto aliyoitoa hivi karibuni kuwa, alinasa mimba tatu za mpenzi wake Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi zikaharibika, ni kama zimechoma kichaka, Risasi Jumamosi limenasa ishu.   Zarinah Hassan ‘Zari’ ambaye ni raia wa Uganda

Tecno Spark 5Pro yatua sokoni, fahamu sifa zake (+Video)

Posted by - October 19, 2020

Kampuni kinara ya simu za mkononi nchini TECNO, imezindua rasmi simu yake mpya Spark 5Pro yenye uwezo wa hali ya juu na usiyohitaji kununua memory card. Spark 5Pro ndiyo mkombozi wa wapenzi wa simu janja ‘Samrtphone’ uwezo wake wa hali ya juu unazifanya simu nyingine zikae chonjo Kwa sasa zinapatikana katika maduka yote ya Tecno

Xiaomi Demos its 80W Wireless Charger

Posted by - October 19, 2020

Wired charging is still mainstream, but more companies are embracing the wireless option as days go by. Although wireless charging has been around for some years, we are yet to see those speeds match what has been achieved drawing power via cable. Xiaomi is showing how much charging speeds could be achieved without using cables.

Mwanaharakati Mathew Msami amewaomba wananchi kuchagua viongozi wenye sera za maendeleo na sio kujinufaisha wao

Posted by - October 19, 2020

Mwanaharakati wa kupigania haki katika jamii Mathew Msami, amewaomba wananchi kuhakikisha wanachagua viongozi wenye lengo la kuiletea nchi maendeleo na sio wenye kutaka kujinufaisha wenyewe. Akizungumza na Bongo 5, leo jijini Dar es Salaam, Msami, amesema nchi imefikia hapa ilipo kutokana na uongozi bora wa Dkt John Magufuli kwa kupigania misingi imara. Anasema wananchi wanatakiwa