Mpinzani wa Kiduku Kutua Nchini

Posted by - October 20, 2020

Mpinzani wa Kiduku Kutua Nchini October 20, 2020 by Global Publishers Mbabe wa masumbwi mwenye rekodi, Sirimongkhon Iamtuam atawasili nchini Oktoba 24 mwaka huu akiwa na wasaidizi wake wakitokea nchini kwao Thailand kumkabili Mtanzania Twaha kassim kiduku kugombea mkanda wa WBC uzito wa super middle weight.   Katibu wa shirikisho la masumbwi PST, Antony Lutha

‘Pacha’ wa Harmonize Ajitokeza Mbagala

Posted by - October 20, 2020

‘Pacha’ wa Harmonize Ajitokeza Mbagala October 20, 2020 by Global Publishers MSANII Followzee kutoka Mbagala jijini Dar es Salaam amesema anasikia raha sana watu kumfananisha na kuitwa pacha wa Harmonize kwani msanii huyo ni mmoja wa wasanii wakubwa kwa sasa Tanzania.   Followzee amesema yeye ni mwanafamilia wa lebo ya Konde Gang ambayo anaimiliki Harmonize

Uefa Champions League Kutimua Vumbi leo

Posted by - October 20, 2020

Uefa Champions League Kutimua Vumbi leo October 20, 2020 by cshechambo   PAZIA rasmi la Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) linafunguliwa leo kwenye hatua ya makundi ambapo mechi kadhaa zitachezwa, lakini macho na matarajio ya wengi yatakuwa katika Jiji la raha Paris nchini Ufaransa wakati mabingwa wa Ligue 1 Paris Saint Germain PSG

Fahamu kabila la Mursi kutoka Ethiopia, lenye kuweka sahani mdomoni (+Video)

Posted by - October 20, 2020

Mambo vipi mtazamaji leo hii tunaangazia kabila maarufu la SURMA pamoja na MURSI makabila haya yanayofanana tabia zao, yanayopatikana nchini ETHIOPI ambayo sifa yao kubwa ya utamaduni ni kuweka visahani mdomoni na kuishi navyo katika maisha yao ya kilasiku. Makabila haya maruufu kwa jina la kimombo ‘Lipsi Plate au Lipsi Plag’ ikiwa na maana moja

2 New Job Vacancies at Swiss Tropical and Public Health Institute (SWISS-TPH) – Various Posts

Posted by - October 20, 2020

WARNING Beware of Job Scammers! Please Never Pay Money To Get A Job! Swiss Tropical and Public Health Institute (SWISS-TPH) Jobs in Tanzania 2020: New Job Vacancies at Swiss Tropical and Public Health Institute (SWISS-TPH), 2020 IntroductionSwiss Tropical and Public Health Institute (SWISS-TPH) has been mandated by the Swiss Agency for Development and Cooperation (SDC)

Rais JPM Sasa Napandisha Mishahara – Video

Posted by - October 20, 2020

Rais JPM Sasa Napandisha Mishahara – Video October 20, 2020 by Global Publishers MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli, leo Oktoba 20, 2020, amefanya mkutano katika uwanja wa TTC Korogwe mkoa wa Tanga leo na kunadi sera za chama hicho na kuomba ridhaa ya wana CCM, na wananchi kumchagua kuwa Rais na

New Job Opportunity at Pathfinder International Tanzania – Project Officer | Deadline: 31st October, 2020

Posted by - October 20, 2020

Pathfinder International Jobs in Tanzania 2019: New Job Vacancies at Pathfinder International, 2019 PROJECT OFFICER – IN KIGOMALocation: Kigoma, Tanzania Job Summary Coordinates capacity strengthening of health care providers through organized workshops, on the job training and mentorship as well as through supportive supervision. Coordinates with the Ministry of Health and PO-RALG in conducting post training

New Job Vacancy at VODACOM Tanzania – HOD: Enterprise Sales

Posted by - October 20, 2020

VODACOM Jobs in Tanzania 2020: New Job Vacancies at VODACOM Tanzania 2020 Position: HOD: Enterprise Sales Posting Country: Tanzania, United Republic of Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent Joining Vodacom is more than a job, what we do matters. We don’t just carry minutes, texts and data – we carry people’s lives. And

Ozil Atemwa Arsenal – Global Publishers

Posted by - October 20, 2020

Ozil Atemwa Arsenal October 20, 2020 by cshechambo RIPOTI kutoka jijini London zimedai kuwa kiungo mshabuliaji wa Arsenal, Mesut Ozil, ameondolewa kwenye kikosi cha wachezaji 25 cha timu hiyo kinachoshiriki  Ligi Kuu ya England Orodha rasmi inatarajiwa kuwasilishwa FA jioni ya leo ikimaanisha kuwa Ozil hataweza kuichezea timu hiyo kwenye mechi za ligi hiyo mpaka