Lyyn Afichua Siri Utajiri Wake

Posted by - October 22, 2020

Lyyn Afichua Siri Utajiri Wake October 22, 2020 by Global Publishers MSANII wa muziki wa Bongo Fleva Irene Louis ‘Lyyn’ ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha ‘maneno’, amefunguka siri za utajiri wake kuwa ni mali alizoachiwa na wazazi wake na siyo kwamba amezipata kwa kudanga.   Mrembo huyo ambaye amekuwa akionekana kula bata

Odibets revamps its virtual betting platform

Posted by - October 22, 2020

Betting firm Odibets has revamped its virtual betting platform, Odileague which now boasts several games from various leagues including the Kenya Premier League. Virtual betting can be explained as the kind of betting availed by some bookies, in Kenya and the world, where customers can place bets on computer-generated games which function just like real

Wema Atikisa Ndoa ya Carlinhos

Posted by - October 22, 2020

Wema Atikisa Ndoa ya Carlinhos October 22, 2020 by Global Publishers STAA wa filamu nchini, Wema Sepetu amedaiwa kuitikisa ndoa ya mchezaji wa timu Yanga, Carlos Carlinhos ambaye ni raia wa Angola, baada ya mkewe Vanessa kutaka kuambiwa ukweli kuhusu picha aliyopiga Wema na mchezaji huyo, kusambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.   Mke wa

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Posted by - October 22, 2020

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa October 23, 2020 by Global Publishers Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= AU Bonyeza kununua >> Championi <<     AU Bonyeza kununua >> Ijumaa <<    

A a well-packaged budget phone

Posted by - October 22, 2020

Realme C15 Review: Realme C15 is already selling in the Kenyan market. The device was launched four weeks ago at Ksh.17,000. This is a budget phone that realme is really trying to focus on since the brand officially launched in Kenya in August of this year. The company, one of the fastest-growing smartphone brands in

Kisa Baba Kutaka Kumuoa Mchumba’ke, Kijana Atoroka na Mahari

Posted by - October 22, 2020

Kisa Baba Kutaka Kumuoa Mchumba’ke, Kijana Atoroka na Mahari October 22, 2020 by Global Publishers MVULANA wa miaka 17 katika Kaunti ya Tana River, nchini Kenya ametorosha mahari iliyokusudiwa kutumiwa na baba’ke kuoa mke wa nne, ambaye alikuwa ni mchumba wake.   Mvulana huyo ambaye alirejea nyumbani wiki iliyopita baada ya ushawishi kutoka kwa vijana

K-Lynn Aibuka, Amvaa Wema! – Global Publishers

Posted by - October 22, 2020

K-Lynn Aibuka, Amvaa Wema! October 22, 2020 by Global Publishers MISS Tanzania wa mwaka 2000, Jacqueline Ntuyabaliwe ‘K-Lynn’ au ‘Jack Mengi’ ameibuka na kumvaa mnyange mwenzake aliyetwaa taji hilo mwaka 2006, Wema Isaac Sepetu.   K-Lynn amefi kia hatua hiyo, baada ya Wema kushindwa kufi ka kwenye hafla ya mamisi waliowahi kutwaa taji hilo, iliyofanyika

2 New Government Job Vacancies KIGOMA at Kibondo District Council – Village Executive Officers

Posted by - October 22, 2020

KAZI ZA HALMASHAURI 2020 Jobs in Tanzania 2020: New Government Job Opportunities KIGOMA at Kibondo District Council 2020 Kibondo District Council Jobs 2020 Government Job Opportunities Kibondo District Council October 2020, Ajira Mpya Kigoma 2020, Nafasi Za Kazi Serikalini 2020 Kigoma Region is one of Tanzania’s 31 administrative regions. The regional capital is the city

Infinix Note 8i Specifications & Price in Kenya

Posted by - October 22, 2020

The Infinix Note 8i was officially launched in Kenya last night together with the Infinix Note 8. The Note 8 is available in Kenya for Ksh 21,800 while the Note 8i is available in Kenya starting from Ksh 15,999 for the 4GB RAM variant that has 64GB of internal storage space and Ksh 17,499 for