Rekodi za Dube Zamfunika Kagere

Posted by - October 23, 2020

Rekodi za Dube Zamfunika Kagere October 23, 2020 by Global Publishers MASHABIKI wamelinganisha kasi aliyoanza nayo mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, Meddie Kagere na hii aliyoanza nayo straika mpya wa Azam, Prince Dube msimu huu, na hapo ndipo Championi Ijumaa lilipoamua kuingia mzigoni kujua nani alianza kwa kasi zaidi.   Katika mechi

Shigongo Na Mgombea wa Chadema Wakutana – Video

Posted by - October 23, 2020

Shigongo Na Mgombea wa Chadema Wakutana – Video October 23, 2020 by Global Publishers Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, akiwa na Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHEDEMA) Abbas Mayala, baada ya kukutana kwenye kivuko cha MV Kome wakielekea katika shughuli

Kaze Asaka First Eleven ya Kuiangamiza Simba

Posted by - October 23, 2020

Kaze Asaka First Eleven ya Kuiangamiza Simba October 23, 2020 by Global Publishers KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, anataka kukibadilisha kikosi chake hicho kabla ya kuwavaa wapinzani wao Simba, Novemba 7.   Katika mkakati huo, viongozi wa Yanga wamependekeza kwa Kaze kuwa asafiri na wachezaji wake wote waende Kanda ya Ziwa kwa ajili ya

Hotuba za Hitler Zapigwa Mnada

Posted by - October 23, 2020

Hotuba za Hitler Zapigwa Mnada October 23, 2020 by cshechambo HOTUBA nane za kiongozi wa zamani wa Ujerumani, Adolf Hilter, zimepigwa mnada mapema leo kwenye Jiji la Munich, kwa kwa dola za Marekani 40,300 ambazo ni sawa na zaidi ya  milioni 92 za Kitanzania.    Hiltler ambaye aliziandika kwa mkono hotuba hizo wakati wa Vita

Uwanja wa Mkapa Wafungwa – Global Publishers

Posted by - October 23, 2020

Uwanja wa Mkapa Wafungwa October 23, 2020 by cshechambo BODI  ya Ligi kuu Tanzania (TBLP) imetoa taarifa kuwa mechi zote za Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2020/21 zilizopangwa kufanyika kwenye uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam, sasa zitachezwa kwenye Uwanja wa Uhuru hadi uwanja huo utakapofunguliwa.   Aidha mechi zote za Ligi Kuu

Mdose: Kitakachoikuta E- Media Watasimulia

Posted by - October 23, 2020

Mdose: Kitakachoikuta E- Media Watasimulia October 23, 2020 by Global Publishers BEKI wa kati wa kutegemewa ndani ya kikosi cha Global FC, Omary Mdose, ameeleza kuwa wameshanoa makali yao tayari kwa mapambano ya mchezo wa kirafi ki utakaochezwa leo Ijumaa dhidi ya kikosi cha E – Media.   Global FC na E Media, leo Ijumaa

Meneja Kampeni Mgombea Ubunge Afariki, Chanzo Hiki Hapa…

Posted by - October 23, 2020

Meneja Kampeni Mgombea Ubunge Afariki, Chanzo Hiki Hapa… October 23, 2020 by Global Publishers POLISI mkoani Mwanza wanachunguza chanzo cha kifo cha Deogratias Medard (42) mkazi wa Sengerema aliyefariki dunia muda mfupi baada ya kudaiwa kula makande na chai akiwa kwenye kampeni za mgombea ubunge jimbo la Sengerema kwa tiketi ya CCM, Hamis Tabasamu,  ambapo

RC Kunenge Afanya Ziara ya Kushtukiza Bandari -Video

Posted by - October 23, 2020

RC Kunenge Afanya Ziara ya Kushtukiza Bandari -Video October 23, 2020 by Global Publishers Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge, leo Oktoba 23, 2020 amefanya ziara ya kushtukiza kwenye bandari ya Dar es salaam, kwa lengo la kujua kile kinachosababisha makontena yenye vifaa vya ujenzi wa stendi ya kisasa ya Mbezi Louis