Mobeto Ampigia Goti Zari! – Global Publishers

Posted by - October 24, 2020

Mobeto Ampigia Goti Zari! October 24, 2020 by Global Publishers KUKUBALI yaishe ni sehemu ya uungwana; ndivyo alivyofanya msanii wa Bongo Fleva na Mwanamitindo, Hamisa Mobeto ambaye amemtaka mwanamke mwenzake Zarinah Hassani ‘Zari’ kuweka kando tofauti zao ili maisha yaendelee.   Hamisa na Zari ni wazazi wenzake na msanii maarufu wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul

Diamond Aahidi Makubwa Tena – Global Publishers

Posted by - October 24, 2020

Diamond Aahidi Makubwa Tena October 24, 2020 by Global Publishers MSANII wa bongo Fleva na Mmiliki wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasib Abdul ‘Diamond’ ambaye mwanzoni mwa mwaka alitambulishwa kama Balozi wa kampuni ya rangi ijulikanayo kama Coral Paints ameahidi tena kufanya mambo makubwa kwa wananchi wenye kipato cha chini kwa kusaidia kuboresha

Ukatili wa Kijinsia Ulivyomzima R-Kelly Kama Mshumaa

Posted by - October 24, 2020

Ukatili wa Kijinsia Ulivyomzima R-Kelly Kama Mshumaa October 24, 2020 by Global Publishers ROBERT Sylvester Kelly ‘R-Kelly’ alizaliwa Januari 8, 1967 Chicago, nchini Marekani. Katika familia yao R-Kelly alikuwa mtoto wa tatu kati ya watoto wanne.   Mama yake ‘Joanne Kelly’ alikuwa mwimbaji, kiongozi wa kwaya aliyewalea watoto wake katika maadili ya kanisa la Baptist

Yafahamu mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi duniani, Misri yaoongoza kwa Afrika (+Video)

Posted by - October 24, 2020

Jarida la kimataifa la ‘Firepower’ ambalo huwa linalinganisha uwezo wa vikosi vya majeshi duniani kila mwaka , limetoa orodha ya mataifa 138 pamoja nguvu walizo nazo. Ripoti hiyo imeangalia idadi ya silaha, jeshi na rasilimali fedha ambazo nchi hizi hutumia katika operesheni za kijeshi. Nafasi ya kwanza katika orodha huwa haibadiliki kila mwaka . Ingawa

Sheikh Nurdin Kishki, DC Temeke waliombea taifa, ataja sifa tatu za kiongozi wa kuchaguliwa na wananchi (+Video)

Posted by - October 24, 2020

Sheikh na mkurugenzi wa Taasisi ya Al Hekma wameliombea taifa kuelekea Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 28/10/2020 ambao utakuwa siku ya Jumatno ya wiki hii. Katika maombi hayo ambayo yalifanyika siku ya Ijumaa walimwalika mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Godwin Gondwe. Sheikh huyo ametaja sifa za kiongozi anayetakiwa kuliongoza taifa la Tanzania na kuwaomba

AUDIO | B2K – Pesa Kidogo | Download

Posted by - October 24, 2020

Home Audio AUDIO | B2K – Pesa Kidogo | Download October 24, 2020 Previous articleAUDIO | Kevin Nilla Ft Yuzzo Manga – Sio Poa | Download Source link