Magufuli: Sumaye Alikumbwa na Mapepo -Video

Posted by - October 25, 2020

Magufuli: Sumaye Alikumbwa na Mapepo -Video October 25, 2020 by Global Publishers Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, John Magufuli amesema kilichomtokea Waziri Mkuu wa zamani Fredrick Sumaye hadi kuhamia upinzani ni mapepo lakini sasa roho mtakatifu amemuokoa.   Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni mjini Babati Jumapili Oktoba 25, Magufuli amesema “Sumaye ni mwana CCM

Nunua na Soma Gazeti la Championi na IjumaaWikienda kirahisi zaidi hapa

Posted by - October 25, 2020

Nunua na Soma Gazeti la Championi na IjumaaWikienda kirahisi zaidi hapa October 26, 2020 by Global Publishers Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la IjumaaWikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= AU Bonyeza kununua >> Championi <<     AU Bonyeza kununua >> IjumaaWikienda << Toa comment

Vodacom Walivyozindua Duka Jipya Kariakoo

Posted by - October 25, 2020

Vodacom Walivyozindua Duka Jipya Kariakoo October 25, 2020 by Bukos Mkuu wa Vodacom Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Birgita Steven akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi huo. KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom imefanya jambo lao Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar, mkabala na Kituo cha Polisi kwa kuzindua duka

Babati: Rais Magufuli Aamrisha Watu 4000 Waunganishiwe Umeme -Video

Posted by - October 25, 2020

Babati: Rais Magufuli Aamrisha Watu 4000 Waunganishiwe Umeme -Video October 25, 2020 by Global Publishers MGOMBEA Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Babati mkoani Manyara katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika kwenye uwanja wa Kwaraa leo Jumapili Oktoba 25, 2020. Rais Magufuli akiwa kwenye mkutano

Nunua Magazeti Ya Global Kupitia GlobalApp Ujishindie Mkwanja

Posted by - October 25, 2020

Nunua Magazeti Ya Global Kupitia GlobalApp Ujishindie Mkwanja October 25, 2020 by Global Publishers Nunua magazeti kupitia globalapp.co.tz au Application ya GlobalApp Ujishindie Mkwanja hadi Tsh. 100,000/= Baada ya kununua jaza fomu hii bila kusahau jina lako kamili, kumbukumbuku namba ya manunuzi na namba ya simu uliyotumia kununua. Kwa Tsh 300 tu, utakuwa umejiweka kwenye

Mtibwa, Azam FC Watoleana Vitisho

Posted by - October 25, 2020

Mtibwa, Azam FC Watoleana Vitisho October 25, 2020 by Global Publishers KESHO Jumatatu kuanzia saa 10:00 jioni, Mtibwa Sugar watapambana na vinara wa Ligi Kuu Bara, Azam kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro ukiwa ni mwendelezo wa ligi hiyo.   Mtibwa yenye pointi nane ikishika nafasi 14 kabla ya mechi za jana Jumamosi, itakuwa na kazi

Wajasiriamali Nchini Waanzisha Umoja wa HAYET kujikomboa Kiuchumi

Posted by - October 25, 2020

Wajasiriamali Nchini Waanzisha Umoja wa HAYET kujikomboa Kiuchumi October 25, 2020 by Bukos Mkurugenzi Mkuu wa HAYET, Alhaj Noordin Kajuma akizungumza baada ya uzinduzi. WAJASIRIAMALI nchini wameanzisha umoja wao walioupa jina la HAYET (Have You Eaten Today?) wakimaanisha umekula leo? Lengo la umoja huo ni kuuziana bidhaa mbalimbali kwa bei ya kutupa. Utepe ukikatwa kuashira

Mataifa 50 yatia saini kupinga silaha za Nyuklia, yakumbuka kilichowakuta Japan

Posted by - October 25, 2020

Nchi 50 zimeidhinisha mkataba wa Umoja wa Mataifa wa kupiga marufuku silaha za nyuklia. Makubaliano hayo yatawezesha kuanza kutekelezwa kwa mkataba huo katika muda wa siku 90. Wanaharakati wanaopinga matumizi ya nyuklia wameisifu hatua hiyo lakini Marekani na mataifa mengine yenye nguvu yanayomiliki nyuklia wameupinga vikali mkataba huo. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephane Dujarric