GSM Yamtengea Mamilioni ya Usajili Kaze

Posted by - October 28, 2020

GSM Yamtengea Mamilioni ya Usajili Kaze October 28, 2020 by Global Publishers BAADA ya usajili wa kiungo mshambuliaji raia wa Burundi, Said Ntibazonkiza uongozi wa Yanga umesema kuwa upo tayari kufanya usajili mwingine wa mchezaji wa kigeni katika usajili wa dirisha dogo kama Kocha Mkuu Cedric Kaze atapendekeza mchezaji, kwani fedha ipo.   Yanga hivi

Sababu Hii…Morrison nje Simba vs Yanga SC

Posted by - October 28, 2020

Sababu Hii…Morrison nje Simba vs Yanga SC October 28, 2020 by Global Publishers NYOTA wa Simba, Bernard Morrison huenda ataukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaoihusu timu yake ya zamani ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Novemba 7, Uwanja wa Uhuru.   Morrison mwenye pasi moja ya bao kati ya 14 yaliyofungwa na Simba kwa msimu wa

Uchebe: Sitaki Kubishana Na Shilole

Posted by - October 28, 2020

Uchebe: Sitaki Kubishana Na Shilole October 28, 2020 by Global Publishers ALIYEKUWA mume wa mwanamuziki wa Bongo Fleva na mjasiriamali, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, Ashraf Uchebe, amefunguka kuwa, hataki kubishana na mwanamke mitandaoni akimaanisha Shilole, badala yake anaangalia maisha yake.   Akizungumza na Gazeti la IJUMAA WIKIENDA, Uchebe anasema kuwa, kwenye mitandao kila mtu ana upeo

Mama Apata Mshtuko Ben Pol Kubadili Dini

Posted by - October 28, 2020

Mama Apata Mshtuko Ben Pol Kubadili Dini October 28, 2020 by Global Publishers SIKU moja baada ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Bernard Paul ‘Ben Pol’ kuposti picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa kwenye mavazi rasmi ya Kiislam, hatimaye mama yake mzazi, Cecilia Buhondo amepatwa na mshtuko.   Akizungumza na Gazeti la IJUMAA

Wema, Carlinhos Imeisha Hiyo! – Global Publishers

Posted by - October 28, 2020

Wema, Carlinhos Imeisha Hiyo! October 28, 2020 by Global Publishers I MEISHA hiyo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kufahamika kwamba, picha za kimahaba zinazosambaa za staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu na kiungo nyota kutoka Angola, Carlos Guimaraes do Carmo Carlinhos, anayeichezea klabu ya Yanga ni za tangazo na kwamba hakuna chochote cha

Importance of security awareness amongst users when trading in digital currency

Posted by - October 28, 2020

In acknowledging Cybersecurity Awareness Month during October this year, peer-to-peer (P2P) cryptocurrency marketplace, Paxful, is highlighting the importance of security awareness amongst users when trading in digital currency. A recent report says illicit cryptocurrency activity accounted for just 2% of Africa’s roughly $16 billion trading volume from July 2019 to June 2020.  The cryptocurrency sphere is

Mondi Aibuliwa Dini ya Shetani

Posted by - October 28, 2020

Mondi Aibuliwa Dini ya Shetani October 28, 2020 by Global Publishers MAPYA yameibuka na kila mtu anasema lake hasa upande wa mahasimu wake, lakini kubwa ni kuibuliwa kwa skendo nyingine matata inayomhusisha staa mkubwa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na dini mpya ya kishetani.   JUKWAA MOJA NA CHRISS BROWN Skendo hii

Africa Logistics launches $6 million warehouse targeting SMEs

Posted by - October 28, 2020

Integrated property and logistics investment company, Africa Logistics Properties (ALP) has today launched $6million warehousing facility for Kenya small businesses. In under 4 years since its inception, ALP says it has raised $150 million dollars to fulfil its purpose of constructing modern grade A warehouse facilities in East Africa with $50m of this apparently already