Manara awafariji Simba SC – Dar24

Posted by - October 29, 2020

Mkuu wa idara ya habari na mawasilino ya Simba SC Haji Manara, ameandika ujumbe wa kuwafariji mashabiki na wanachama wa klabu hiyo kufuatia kipigo cha bao moja kwa sifuri kilichowakutana jana Jumatatu, Oktoba 26. Simba SC ilipoteza mchezo dhidi ya Ruvu Shooting jijini Dar es salaam, kwa kufungwa bao moja kwa sifuri, sawa na matokeo

Anayofanyiwa Morrison sio sahihi – Dar24

Posted by - October 29, 2020

Mdau wa soka nchini Tanzania Erick David Nampesya amejitokeza hadharani na kuonesha namna alivyoguswa na tukio la kiungo mshambuliaji wa Simba SC Bernard Morrison, ambalo limechukua nafasi kubwa kwenye mitandao ya kijamii. Morrison anashambuliwa mitandaoni kufuatia tukio la kumpiga kiwiko beki wa Ruvu Shooting Juma Nyoso, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu uliomalizika kwa Simba

Prof. Jay Ashindwa Ubunge – Global Publishers

Posted by - October 29, 2020

Prof. Jay Ashindwa Ubunge October 29, 2020 by Global Publishers MSANII wa Bongo Fleva nchini, Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay,  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameshindwa kutetea Jimbo la Mikumi, ambalo alikuwa mbunge kwa kipindi cha miaka mitano.   Amepata kura 17,375 huku mpinzani wake Denis Lazaro wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Shigongo Ashinda Ubunge Buchosa – Video

Posted by - October 29, 2020

Shigongo Ashinda Ubunge Buchosa – Video October 29, 2020 by Global Publishers MSIMAMIZI  wa uchaguzi Jimbo la Buchosa, Crispin Luanda,  leo Oktoba 29, 2020, amemtangaza mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, kuwa mshindi wa ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 79,950 sawa na asilimia

Daraja la Jangwani Lafurika Mafuriko, Wananchi Washangaa!

Posted by - October 29, 2020

Daraja la Jangwani Lafurika Mafuriko, Wananchi Washangaa! October 29, 2020 by Denis Mtima Taswiara ya eneo la Jangwani kama linavyoonekana kufuatia mafuriko ambayo yametokea eneo la Jangwani na kusababisha barabara hiyo kufungwa. Baadhi ya wananchi wakipita kwa tabu eneo la Jangwani. Makazi yaliyopo eneo ya Jangwani kama inavyoonekana. Baadhi ya wananchi wakilazimisha kupita katikati ya

Mrisho Gambo Amshinda Lema Ubunge Arusha Mjini

Posted by - October 29, 2020

Mrisho Gambo Amshinda Lema Ubunge Arusha Mjini October 29, 2020 by Global Publishers Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini amemtangaza Mrisho Gambo wa CCM kuwa Mshindi wa Ubunge katika Jimbo hilo kwa kura 82,480 akifuatiwa na Godbless Lema (CHADEMA) mwenye kura 46,489.   Toa comment Posted from

Abbas Tarimba Ashinda Ubunge Kinondoni

Posted by - October 29, 2020

Abbas Tarimba Ashinda Ubunge Kinondoni October 29, 2020 by Global Publishers Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kinondoni na Kawe, Aron Kagurumjuli amemtangaza mgombea ubunge wa CCM jimbo la Kinondoni Abass Tarimba ameshinda baada ya kupata kura 112,014.   Tarimba amewashinda wenzake 17 Kati ya hao Suzanna Lyimo wa Chadema amepata Kura 11260 na Said Kubenea

ICT Authority and Huawei Train Civil Servants on Latest ICT Trends

Posted by - October 29, 2020

ICT Authority and Huawei have completed the latest online training for civil servants to bring them the latest ICT trends, e-government, smart city, Internet of Things (IoT) and cyber security. The training builds on the tremendous growth of ICT use during COVID-19 and will help fast-track digitization of government nationwide. Participants are joining from all