Yaelezwa aliyeshambulia kanisa nchini Ufaransa alitoka Tunisia

Posted by - October 30, 2020

Mwanamume wa Tunisia aliyewaua watu watatu katika ndanoi ya kanisa, Ufaransa aliwasili barani Ulaya hivi karibuni, maafisa wanasema. Mshukiwa, 21, alikuwa na nyaraka za Shirika la Msalaba Mwekundu la Italia, alizopewa alipowasili nchini humo kupitia boti la wahamiaji kisiwani Lampedusa mwezi uliopita. Alipigwa risasi na polisi na kwasasa yuko katika hali mahututi. Mmoja wa waathiriwa

Unboxing The OPPO A93 And Specs

Posted by - October 30, 2020

OPPO A93 OPPO A93 Unboxing: OPPO Kenya officially launched the OPPO A93, its latest addition to the A Series portfolio in the country a few days ago. The OPPO A93 is available in all OPPO Kenya brand stores and dealers at Ksh30,999. OPPO A93 features a 6.43-inch display and 1080 by 2400 pixels screen resolution.

Wanasiasa maarufu waliopoteza majimbo yao Tanzania, matokeo ya mwanzo CCM yashinda majimbo 188 upinzania 2

Posted by - October 30, 2020

Mchakato wa kutangaza matokeo ya washindi wa uchaguzi nchini Tanzania yanaendelea kutangazwa na tume ya uchaguzi nchini Tanzania. Watanzania wameshuhudia anguko la wapinzani kwenye ngome zao mbalimbali zikinyakuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa nafasi za udiwani na ubunge. Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema ambaye pia alikuwa mbunge wa Jimbo la Hai huko Moshi.

Kimbunga Molave chaua watu 31

Posted by - October 30, 2020

Mchakato wa uokozi unaendelea nchini Vietnam hii leo, baada ya maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na KimbungaMolave. Mamia ya wanajeshi wenye vifaa vizito wametumwa katika maeneo ya ndani ya jimbo la Quang Nam kulikotokea maporomoko ya ardhi na ambako watu 19 wameuawa na wengine 48 hawajulikani walipo. Aidha miili ya wavuvi 12 imeopolewa baharini hii leo

Sophos Launches Rapid Response Service to Identify and Neutralize Active Cybersecurity Attacks

Posted by - October 30, 2020

Sophos has announced the availability of an industry-first, fixed-fee remote incident response service that identifies and neutralizes active cybersecurity attacks. Known as Sophos Rapid Response, the service provides organizations with a dedicated 24/7 team of incident responders, threat hunters and threat analysts to quickly stop advanced attacks and remove adversaries from their networks, minimizing damage and

Wadau wa burudani na wasanii waliogombea Ubunge 2020, Mwana FA, Babu Tale na Shigongo kidedea, Wakazi, Sugu, Profesor Jay chali

Posted by - October 30, 2020

Kwa mujibu wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Muheza, amemtangaza Mwana Fa wa CCM kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya ubunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 47,578 na kumshinda Yosepher Komba wa CHADEMA aliyepata kura 12,034. Mwana Fa anaungana na wasanii wengine ambao waliingia Bungeni kama Joseph Mbilinyi aliyeshindwa kutetea nafasi yake ya Ubunge

SportPesa resumes activities in Kenya

Posted by - October 30, 2020

Image courtesy: https://nairobinews.nation.co.ke Betting firm SportPesa has announced the resumption of activities in the Kenyan market. This comes a year after the company was forced to exit the region in response to a new 20% tax introduced by the Kenyan government. After months of back and forth, the company announced they were exiting the market

Uchaguzi Tanzania 2020: Magufuli amwacha mbali Lissu katika matokeo ya awali

Posted by - October 30, 2020

Matokeo ya uchaguzi kwa ngazi ya urais yanaendelea kutangazwa nchini Tanzania huku rais aliye madarakani na mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiongoza katika matokeo ya awali. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Magufuli anaongoza kwa asilimia 84.8 katika matokeo ya majimbo 202 yaliyotangazwa matokeo yake na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

Kenyan Students Get to Global Finals of Huawei ICT Competition

Posted by - October 30, 2020

Kenyan students have made it to the global finals of the Huawei Sub-Saharan Africa ICT Competition scheduled for November 2020.  The students from JKUAT, Laikipia University, Multimedia University and the University of Nairobi are competing as the Kenyan team in the competition. They were among the top eight teams from the more than 40 African

Wakenya wampa pole Bwege kwa kuangukia pua Ubunge Kilwa

Posted by - October 30, 2020

Mheshimiwa Suleiman Bugara Mbwege ambaye anafahamika Africa Mashariki kwa msemo wake wa ulisikia wapi na kuviteka vichwa vya habari nchini Tanzania na Kenya, ameangushwa kwenye uchaguzi mkuu uliopita wa Ubunge. Wakenya wengi jana walimtakia heri njema za uchaguzi lakini pia wengi hii leo wameghadhabishwa na habari za kuangushwa kwenye kinyang’anyiro kilichopita. Breaking from Tanzania: Electoral