Wananchi Dozi Tu – Global Publishers

Posted by - October 31, 2020

Wananchi Dozi Tu October 31, 2020 by cshechambo TIMU ya Yanga ambao wanajiita ‘Wananchi’ imeendeleza wimbi la ushindi baada ya leo kuvunja mwiko wa kuifunga Biashara United ya Musoma kwenye dimba lake la nyumbani kwa goli 1-0 mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Karume mkoani Mara bao pekee likikwamishwa wavuni na mshambuliaji Michael Sarpong dakika ya

Uwoya Vyuma Vimekaza – Global Publishers

Posted by - October 31, 2020

Uwoya Vyuma Vimekaza October 31, 2020 by Global Publishers VYUMA vimekaza! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanamama na staa wa fi lamu za Kibongo, Irene Uwoya, kufunga baa yake ya Last Minute iliyopo Sinza, Dar, huku sababu zikiwa hazijulikani.   Baa hiyo ambayo mbali na kazi yake ya fi lamu, ndiyo ilikuwa ikimuingizia kipato na

Breast Cancer in men – The Risk Factors

Posted by - October 31, 2020

October is coming to an end, the month set aside to create awareness about breast cancer that is affecting a large population of women and men in Africa and across the world. Breast cancer is most commonly thought of as a disease that affects women, but it does occur in men as well. This is

Ndoa ya Shilole Barazani – Global Publishers

Posted by - October 31, 2020

Ndoa ya Shilole Barazani October 31, 2020 by Global Publishers MPIGA picha maarufu wa mastaa mbalimbali Issa Juma ‘ Rommy 3D’ ambaye kwa sasa ndio mpiga picha binafsi wa mjasiriamali na msanii wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘ Shilole’, amesema mwisho wa mwaka huu kitaeleweka kuhusu suala la yeye na msanii huyo kufunga ndoa.  

PDF Files | SUA Second Round Selected Applicants 2020/2021 Bachelor, Diploma and Certificate | Sokoine University of Agriculture Selections

Posted by - October 31, 2020

WARNING Beware of Job Scammers! Please Never Pay Money To Get A Job! Sokoine University of Agriculture (SUA) Overview: SUA selected applicants 2020/21 are the names of students who have passed the admission screening stage and successfully approved by TCU to join undergraduate studies at Sokoine University of Agriculture (SUA) for the 2020/2021 academic year.

Gabo Hana Mipaka ya Simu na Mkewe!

Posted by - October 31, 2020

Gabo Hana Mipaka ya Simu na Mkewe! October 31, 2020 by Global Publishers MSANII wa Bongo Muvi, Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema kuwa hana mipaka ya simu kwa mke wake, amempa uhuru wa kushika simu yake muda wowote anaotaka. Akizungumza na AMANI, msanii huyo alisema kuwa mke wake ni muelewa hivyo amempa uhuru wa kushika simu

Mobile Gambling Money Transfers to be Permitted in Kenya

Posted by - October 31, 2020

It has been confirmed that officials in Kenya have made amendments to the Gaming Bill 2019 to enable money transfers to be used as a method of payment for mobile gambling. Operators across Kenya may soon start offering this option to gamblers, but the changes also mean that credit card payments could be stopped.  The

Simba Sc Yaipa Kipigo Hevi Mwadui

Posted by - October 31, 2020

Simba Sc Yaipa Kipigo Hevi Mwadui October 31, 2020 by cshechambo BAADA ya kuchezea vichapo viwili mfululizo timu ya Simba leo, Jumamosi, Oktoba 31, 2020, imeshinda kwa kishindo baada ya kuichapa Mwadui Fc mabao 5-0, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambao umepigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.   Kurejea kwa fundi

Mobeto Kurudi Shule – Global Publishers

Posted by - October 31, 2020

Mobeto Kurudi Shule October 31, 2020 by Global Publishers MWANAMITINDO maarufu Bongo Hamisa Mobeto kwa mara ya kwanza amesema kuwa anatarajia kujiendeleza elimu ya juu mwakani.   Akipiga stori na AMANI mwanamama huyo mwenye mvuto wa aina yake alisema kwamba mara nyingi amekuwa na mawazo ya kurudi shule lakini majukumu yanamzidi hivyo anajikuta hatimizi malengo