Lyyn Afunguka Penzi Lake Na Diamond – Video

Posted by - November 1, 2020

Lyyn Afunguka Penzi Lake Na Diamond – Video November 1, 2020 by Global Publishers  MSANII wa muziki wa Bongo Fleva Irene Louis ‘Lyyn’ ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha ‘maneno’, amefunguka siri ya mahusiano yake na Staa wa bongo fleva Diamond Platnumz yalivyokuwa. Posted from

Cheki Balaa la Twanga Pepeta Usiku wa Kuamkia Jana

Posted by - November 1, 2020

Cheki Balaa la Twanga Pepeta Usiku wa Kuamkia Jana November 1, 2020 by Bukos BENDI ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ inayotamba na wimbo wake mpya wa Mapenzi Sigala Kali, usiku wa kuamkia jana (Jumamosi) ilipiga bonge la shoo ndani ya kiwanja cha Green Palm kilichopo Kunduchi Jijini Dar. Shoo hiyo ilihudhuriwa na nyomi la mashabiki

Vuvuzela Classic Modern Taarab Cheki Ilivyowanyongesha Mauno Wamama

Posted by - November 1, 2020

Vuvuzela Classic Modern Taarab Cheki Ilivyowanyongesha Mauno Wamama November 1, 2020 by Bukos KUNDI la Vuvuzela Classic Modern Taarab usiku wa kuamkia jana iliwanyongesha mauno kinamama waliohudhuria onesho lililofanyika Ukumbi wa Open Air uliopo Kawe Jijini Dar. Kundi hilo linaloongozwa na Aisha Othman a.k.a Vuvuzela lilipiga shoo kali ukumbini hapo na kuwafanya wamama waliofurika ukumbini

Solskjaer Amuhofia Arteta – Global Publishers

Posted by - November 1, 2020

Solskjaer Amuhofia Arteta November 1, 2020 by Global Publishers BOSI wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema anatarajia kuwa na mchezo mgumu mbele ya Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta kutokana na jinsi alivyoanza kwa mafanikio akiwa na timu hiyo leo Jumapili, Man United na Arsenal zitashuka katika Dimba la Old Trafford kupambana kwenye mchezo wa

Prince Dube Akwama Kwa Dakika 270 Bongo

Posted by - November 1, 2020

Prince Dube Akwama Kwa Dakika 270 Bongo November 1, 2020 by Global Publishers MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Prince Dube raia wa Zimbabwe, ameshindwa kufunga bao kwenye mechi tatu mfululizo ndani ya Ligi Kuu Bara ambazo ni sawa na dakika 270.   Dube alianza na moto msimu huu kwenye ligi hiyo baada ya kuifungia Azam mabao

New Job Vacancy at Adexen Tanzania – Finance Director

Posted by - November 1, 2020

WARNING Beware of Job Scammers! Please Never Pay Money To Get A Job! Adexen Tanzania Jobs in Tanzania 2020: Job Vacancies at Adexen Tanzania 2020 Finance DirectorAdexenLocation: Dar es Salaam, TanzaniaJob IntroductionAdexen was mandated by a multinational corporation to recruit a Finance Director / CFO for its operations. The position is based in Tanzania. Read

New Job Opportunity at Adexen Tanzania – Plant Director

Posted by - November 1, 2020

WARNING Beware of Job Scammers! Please Never Pay Money To Get A Job! Adexen Tanzania Jobs in Tanzania 2020: Job Vacancies at Adexen Tanzania 2020 Plant DirectorAdexenLocation: Dar es Salaam, Tanzania.Adexen was mandated by a leading international Group to recruit an experienced Plant Director for its operations. The position is based in Tanzania.Recommended: Free CV

New Job Opportunity at Adexen Tanzania – Country Manager

Posted by - November 1, 2020

WARNING Beware of Job Scammers! Please Never Pay Money To Get A Job! Adexen Tanzania Jobs in Tanzania 2020: Job Vacancies at Adexen Tanzania 2020 Plant DirectorAdexenLocation: Dar es Salaam, Tanzania.Adexen was mandated by a leading international Group to recruit an experienced Plant Director for its operations. The position is based in Tanzania.Recommended: Free CV

Uwoya Vyuma Vimekaza Afunga Baa Yake Sinza

Posted by - November 1, 2020

Uwoya Vyuma Vimekaza Afunga Baa Yake Sinza November 1, 2020 by Global Publishers Vyuma vimekaza! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mwanamama na staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya, kufunga baa yake ya Last Minute iliyopo Sinza, Dar, huku sababu zikiwa hazijulikani. Baa hiyo ambayo mbali na kazi yake ya filamu, ndiyo ilikuwa ikimuingizia kipato