Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa

Posted by - November 2, 2020

Nunua na Soma Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi hapa November 3, 2020 by Global Publishers Jipatie nakala ya Gazeti la Uwazi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= Baada ya kununua Gazeti utakuwa imejiwekea nafasi nzuri ya kuzawadiwe SmartPhone mpya naMkwanja hadi Tsh. 100,000/= ===> https://bit.ly/2TGfTOs   Bonyeza hapa kununua

Switching from Android to iPhone; Should you really?

Posted by - November 2, 2020

Two weeks ago, I got the iPhone 11 Pro Max and it was my first time using an iPhone ever. I have interacted with them before, but I’ve never had one as a device I carry around and actually use. Being someone who uses lots of phones every year for review, I felt bad not

Mkuu wa WHO Tedros Adhanom yuko karantini kisa Corona

Posted by - November 2, 2020

Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameanza kujitenga baada ya kukutana na mtu aliyebainika kupata maambukizi ya virusi vya corona. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema yeye binafsi hakuwa na dalili za corona. “Mtu niliyekutana naye hivi karibuni amebainika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona. Niko sawa na sina dalili zozote lakini nitajitenga kwa siku

Mgogoro wa ukubwa wa kaburi wachelewesha mazishi

Posted by - November 2, 2020

Mazishi yalicheleweshwa kwa muda wa saa mbili baada ya mgogoro wa ukubwa wa kaburi kuibuka katika mazishi ya mzee mwenye miaka 98. Mtoto wa marehemu, Peter Worby alisema baba yake William alitakiwa kuzikwa lakini Padre kutoka kanisa la Old Hall Green huko Hertfordshire alisema kina cha kaburi hilo ni kifupi kuliko inavyostahili hivyo hawezi kuendesha

Madereva wa kike wa magari makubwa, walaani maandamano Tanzania, waathirika wakubwa wanawake na watoto (+Video)

Posted by - November 2, 2020

Madereva watatu wa kike wa magari makubwa ambao wameunda kikundi chao wameungana kwa ajili ya kulaani maandamano yaliyopangwa kutokea nchini.Maandamano hayo ambayo yalipangwa na viongozi wa juu wa vyama viwili vya Siasa CHADEMA na ACT WAZALENDO kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika mnamo tarehe 28/10/2020 nchini Tanzania. Madereva hao wamesema kuwa endapo yakitokea maandamano waathirika

Ashoka launches initiative to support African social entrepreneurs addressing COVID-19

Posted by - November 2, 2020

Ashoka has today launched a new initiative to support African social entrepreneurs developing solutions to help fight COVID 19. The “Changemakers United Africa” initiative by the global network of social entrepreneurs has selected 13 Fellows and 3 young leaders working in different areas. These areas include better access to healthcare, education, economic resilience, protection of

Wasanii wa dansi wakemea maandamano: Tanzania ndio baba ndio mama kwetu, hatuna pa kukimbilia (+Video)

Posted by - November 2, 2020

Wasanii wa muziki wa dansi nchini wakiongozwa na Mama Asha Baraka wameweza kuungana na kukemea vikali vitendo vilivyotarajiwa kufanyika vya uvunjifu wa amani.Wasanii hao wakioongozwa na Asha Baraka wameiomba Serikali kuhakikisha vitendo hivyo viovu visiweze kutokea kwani ni uvunjifu wa amani nchini. Wameeleza kuwa Tanzania haikujengwa kwa ajili ya maandamano bali imejengwa kwa ajili ya

Nokia Phones Lead the Trust Rankings

Posted by - November 2, 2020

HMD Global, the home of Nokia phones, leads the Counterpoint Research 2020 trust rankings based on the four pillars of software, security updates, build quality, and devices recommended for enterprises. These pillars comprise various weighted criteria with a comparative analysis done for the leading Android smartphone brands. The findings are a part of Counterpoint Research’s

AUDIO | Daudi Nyigo – Imani | Download

Posted by - November 2, 2020

Download | Daudi Nyigo – Imani [Mp3 Audio] Listen to Daudi Nyigo – Imani byDJ Mwanga on hearthis.at   The post AUDIO | Daudi Nyigo – Imani | Download appeared first on DJ Mwanga. Source link