Ajibu, Ndemla Wamkosha Mbelgiji Simba

Posted by - November 3, 2020

Ajibu, Ndemla Wamkosha Mbelgiji Simba November 3, 2020 by Global Publishers MBELGIJI Sven Vandenbroeck, amefunguka kuwa amekoshwa na viungo wake wawili Ibrahim Ajibu na Said Ndemla ambao walifunga mabao kwenye mechi yao dhidi ya Mwadui FC kwa kubainisha wazi hiyo inaonyesha hamtegemei mtu mmoja kwenye suala la kufunga.   Mbelgiji huyo ameongeza kuwa mabao ya

Mwana FA: Naacha Muziki, Prof Jay, Sugu Hamieni CCM

Posted by - November 3, 2020

Mwana FA: Naacha Muziki, Prof Jay, Sugu Hamieni CCM November 3, 2020 by Global Publishers NYOTA wa muziki wa Hip Hop nchini, Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’,  amesema baada ya kupata nafasi ya ubunge wa Jimbo la Muheza juhudi zake anazihamishia kwa wananchi wa huko.   #MwanaFA alitangazwa kushinda kiti cha ubunge kwa tiketi cha Chama

Moyale woman wins Sh11 million after placing daring bets on Odileague

Posted by - November 3, 2020

Nuria Mohammed has cumulatively won Sh.11,400,000 on the Odibets gaming platform after placing several bets. An elated Nuria narrated how she placed her bets on Odi League – Odibets’ virtual betting platform. She placed the bets shuffling between the various virtual betting markets on OdiBets.com for three weeks. “I started playing Odi League when the

Mondi Awanyima Urithi Wanawe – Global Publishers

Posted by - November 3, 2020

Mondi Awanyima Urithi Wanawe November 3, 2020 by Global Publishers MWANZO zilikuwa ni tetesi tu kwamba, staa wa muziki barani Afrika na mmiliki wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anammilikisha mali nyingi mama yake mzazi, Sanura Kassim ‘Mama Dangote’, lakini sasa kila kitu kimethibitika rasmi.   Awali ilielezwa kama tetesi

Giza Nene Latanda Upinzani – Global Publishers

Posted by - November 3, 2020

Giza Nene Latanda Upinzani November 3, 2020 by Global Publishers WAKATI Watanzania wakikaa chini na kutafakari mustakabali wa siasa nchini katika kipindi cha miaka mitano ijayo, giza nene limetanda kwa upande wa vyama vya upinzani baada ya kutokea anguko la kihistoria katika uchaguzi mkuu uliofanyika wiki iliyopita.   IJUMAA wikienda linachambua. Katika uchaguzi huo uliofanyika

42 New FORM FOUR and Above Job Vacancies DSM at Hannah Bennie School (HBS) – Various Posts

Posted by - November 3, 2020

OPEN JOB VACANCIES AT HBS Teaching Volunteers (4 Posts) Deputy Heads of School (1) Deputy Heads, Pre and Primary school (2) Pre-school/Nursery and Primary School Teachers (10) Receptionists / Admin officers (2) Head of Premises & Transportation (1) Electrical/Mechanical engineer (2) Accountant (1) School bus Drivers (10) Pre-school Helpers /Dada (6) Chefs/Cooks (3) Recommended:PAST PAPERS

WhatsApp Disappearing Messages Feature to Be Included in A future update

Posted by - November 3, 2020

Telegram has had it for as long as I can remember and now WhatsApp wants to give them a try. I am talking about disappearing messages that self-destruct after sometime unlike the messages that users can send and receive right now. WhatsApp has been working on this feature for a few months and is now

Afande Sele Atoa Neno Kwa Wasanii Waliokurupukia Siasa

Posted by - November 3, 2020

Afande Sele Atoa Neno Kwa Wasanii Waliokurupukia Siasa November 3, 2020 by Global Publishers MSANII wa muda mrefu kwenye kiwanda cha muziki Bongo, Selemani Msindi, maarufu kama Afande Sele, amesema kwenye mchakato wa uchaguzi mwaka huu amejifunza kuwa wajumbe hawaangalii sura, pesa au umaarufu wa mtu  ili kumpitisha kwenye uongozi.   Afande Sele ametoa mtazamo

Beware of this New Google Drive Scam

Posted by - November 3, 2020

Scammers have just found a new way to rip off unsuspecting users. A flaw embedded in Google Drive is being exploited in the wild, allowing hackers to send seemingly legit emails from Google.  These emails arrive using the same address as what Google uses to send updates to its users. However, when opened, a user

Wanaotuhumiwa Kuchoma Nyumba ya Katambi Mbaroni

Posted by - November 3, 2020

Wanaotuhumiwa Kuchoma Nyumba ya Katambi Mbaroni November 3, 2020 by Global Publishers POLISI mkoani Shinyanga imewakamata watu tisa kwa tuhuma za kutaka kuchoma moto nyumba ya mbunge mteule wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).   Miongoni mwa watuhumiwa ni aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo