Simba Yaichapa Kagera Sugar – Global Publishers

Posted by - November 4, 2020

Simba Yaichapa Kagera Sugar November 4, 2020 by cshechambo BINGWA mtetezi wa ligi kuu ya Vodacom Simba, wamefanikiwa kuvuna pointi tatu muhimu mbele ya wakata miwa, Kagera Sugar kwa ushindi magoli 2-0 katika mchezo uliofanyika leo Novemba 4, kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.   Magoli ya wekundu wa msimbazi Simba yamefungwa mwishoni

realme C12 Full Specifications and Price in Kenya

Posted by - November 4, 2020

PRICE Expected KES. 12,000Buy from Jumia Display 6.5 inches IPS LCD 720 x 1560 pixels, 20:9 ratioGorilla Glass Rear Camera Triple Setup:13 MP, f/2.2, (wide), PDAF2 MP B/W, f/2.42 MP, f/2.4 Front Camera 5 MP, f/2.0, (wide) Chipset MediaTek Helio G35 (12 nm) GPU PowerVR GE8320 RAM 3GB RAM Storage 32GB StorageeMMC 5.1(Expandable via dedicated

Linah Atamba Kuoana na Awadhi!

Posted by - November 4, 2020

Linah Atamba Kuoana na Awadhi! November 4, 2020 by Global Publishers MREMBO anayefanya vizuri kwa sasa kunako gemu la Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ amesema kuwa wambea wanaofuatilia mapenzi yake na mpenzi wake wa sasa Awadhi Masomo wanapoteza muda wao bure ni bora wampotezee.   Akipiga stori mbili tatu na Mikito Nusunusu, Linah alisema kwamba,

Huu ndio uteuzi wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi baada ya kuapishwa

Posted by - November 4, 2020

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Mwinyi, amemteua Mwinyi Talib Haji, kuwa Mwanasheria Mkuu Zanzibar. Mwanasheria Mkuu mpya wa Zanzibar, Mwinyi Talib Haji Uteuzi wa Mwinyi Talib umeanza leo Novemba 3, 2020. Kabla ya uteuzi huo Mwinyi alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika

Trump baada ya kuyaona matokeo ya mwanzo, adai kuna mpango wa yeye kuibiwa kura

Posted by - November 4, 2020

Rais wa Marekani, Donald Trump, ameendelea kuibua mjadala zaidi baada ya kuandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kwamba kuna mpango umeandaliwa wa kumuibia kura na wala hataruhusu jambo hilo lifanikiwe. Matamshi yake yameamsha hisia zaidi nchini humo, huku akiongeza hofu ya kutokea kwa vurugu ikiwa atashindwa katika Uchaguzi huu. Awali alishatangaza kuwa huenda asikubaliane na

New Job Vacancy at ICAP Tanzania – Assistant Sub Grant Officer | Deadline: 18th November, 2020

Posted by - November 4, 2020

WARNING Beware of Job Scammers! Please Never Pay Money To Get A Job! SHARE THIS POST ON WHATSAPP ICAP Tanzania Jobs in Tanzania 2020: New Job Vacancies at ICAP Tanzania, 2020 Assistant Sub Grant Officer Job no: 493406 Position type: Temporary Full-Time Location: Tanzania – Dar es Salam Division/Equivalent: Tanzania School/Unit: Finance & Administration Categories:

New Job Opportunity at VODACOM Tanzania – Revenue Assurance Analyst

Posted by - November 4, 2020

VODACOM Jobs in Tanzania 2020: New Job Vacancies at VODACOM Tanzania 2020 Position: Revenue Assurance Analyst Posting Country: Tanzania, United Republic of Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent Joining Vodacom is more than a job, what we do matters. We don’t just carry minutes, texts and data – we carry people’s lives.

New Job Vacancy at VODACOM Tanzania – Senior Analyst: Margin Accounting

Posted by - November 4, 2020

VODACOM Jobs in Tanzania 2020: New Job Vacancies at VODACOM Tanzania 2020 Position: Senior Analyst: Margin Accounting Posting Country: Tanzania, United Republic of Full Time / Part Time: Full Time Contract Type: Permanent Joining Vodacom is more than a job, what we do matters. We don’t just carry minutes, texts and data – we carry people’s

New Job Opportunity at Pathfinder International Tanzania – Technical Advisor

Posted by - November 4, 2020

Position: Technical Advisor SRHR ServicesTechnical Advisor shall manage the full project lifecycle from initiation through analysis and development to organization- wide rollout and training. Ensures the success of the project by putting in place sound project and program management practices. Creates and executes project work plans and reports, manages project staff and budgets, monitors and

Pre-order TECNO CAMON 16s Upate Zawadi Papohapo

Posted by - November 4, 2020

Kampuni kinara ya simu za mkononi ya TECNO, imetoa ofa ya zawadi kwa wateja wake wa kwanza kabisa watakaofanya malipo mapema yaani ku Pre-order simu yake mpya kabisa ya TECNO CAMON 16s ambayo inatarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni. Katika ufafanuzi wake kwenye taarifa ya mpango kazi wa promosheni hiyo ni kwamba mteja atakaye pre-order kwenye