Tanzia: Mbunge wa zamani Moshi Vijijini afariki Dunia

Posted by - November 5, 2020

Chami alihudumu kama mbunge wa Moshi Vijijini kuanzia mwaka 2005, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akiwa Mbunge, Rais wa Awamu ya nne, Mh Jakaya Kikwete, alimeteua Januari 4, 2006, kuwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje. Alihuduma katika Wizara hiyo ya Mambo ya Nje kabla ya Februari 12, 2008, kuhamishwa na kuwa Naibu Waziri wa

Lil Ommy amekuwa Mtangazaji wa kwanza Tanzania kupewa nafasi Apple

Posted by - November 5, 2020

Mtangazaji wa Wasafi media (@lilommy ) amekua mtangazaji wa Kwanza Kutoka Tanzania kutengenezewa Playlist yake katika Mtandao huo , ukiachana na @rayvanny , @navykenzoofficial ambao walitokea katika Covers za Playlist ya AFRICA NOW ! Ikiwa tunaelekea kwenye Msimu wa Sikukuu (Holiday season) , Lilommy  amepata nafasi ya kutaja  Playlist yake ya Ngoma kali Kwa ajili ya Msimu wa

Equity Bank appoints Prof. Timothy Waema as Non-Executive Director

Posted by - November 5, 2020

As shared by Equity Bank: Equity Bank (Kenya) Limited (EBKL) has appointed Prof. Timothy Waema as Non-Executive Director. Prof. Waema brings on board his extensive ICT experience that spans over 30 years in both private and public sector organizations in Kenya and the African region. He is a Professor of Information Systems in the School

Diamond alivyompokea Zari Dar, wakumbatiana (Video)

Posted by - November 5, 2020

Mama watoto wa @diamondplatnumz , @zarithebosslady ametua jijini Dar Es Salaam huku akiwa na watoto wao wawili @princess_tiffah na @princenillan wakitokea Afrika Kusini. Wawili hao baada ya kukutana walikumbatiana ambapo Zari akapata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari. Kuangalia matukio yote tembelea YouTube YouTube ya Bongo5 Written and edited by @yasiningitu Shot by @jacka_beleghe

Tiffah alivyozungumza kwa furaha baada ya kuonana na baba yeke Diamond (Video)

Posted by - November 5, 2020

Mtoto wa kwanza wa @diamondplatnumz , @princess_tiffah alipata fursa ya kuongea na waandishi wa habari kueleza furaha yake baada ya kukutana na Baba yake. Tiffah alisema ana zawadi ya piza kwaajili ya bibi yake @mama_dangote . Zari alipokewa Airport jijini Dar Es salaam na Diamond na kuondoka na gari ya pamoja. Written and edited by

Samsung will Reportedly Launch the Galaxy S21 Series in January

Posted by - November 5, 2020

Samsung followed its traditional custom of launching the Galaxy S flagship phones in February/March this year, but things might not be the same come 2021. According to a recent report, Samsung will allegedly launch the S21 flagship series phones in January. This will be the earliest the company has launched the Galaxy S series from

New Job Arusha at World Education Inc. Bantwana (WEI/B) – Technical Advisor | Deadline: 18th November, 2020

Posted by - November 5, 2020

World Education, Inc. (WEI) Jobs in Tanzania 2020: New Job Vacancies at World Education Inc (WEI), 2020 OverviewWorld Education, Inc. (WEI) seeks candidates for various vacancies to provide technical support to the USAID funded Waache Wasome project implemented through In-school and Out-of-school interventions in Arusha region (Karatu District Council and Arusha City Council) and Mara