Mama Amwaga Machozi Akisimulia Ulemavu wa Mwanaye – Video

Posted by - November 6, 2020

Mama Amwaga Machozi Akisimulia Ulemavu wa Mwanaye – Video November 6, 2020 by Global Publishers Mtoto Ally mwenye umri wa miaka 10 ametelekezwa na baba yake mzazi baada ya kuzaliwa na ulemavu wa viungo huku akiwa amelala ndani miaka 10. Toa comment Posted from

Jamaa Wamdai Bosi Wao Milioni 350, Wamwangukia JPM

Posted by - November 6, 2020

Jamaa Wamdai Bosi Wao Milioni 350, Wamwangukia JPM November 6, 2020 by Global Publishers JAMAA zaidi ya 20 ambao ni wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi ya Elerai Construction Company LTD ya jijini Arusha, inayomilikiwa na tajiri Samwel Lema wamesema wanamdai bosi huyo stahiki za mishahara yao kiasi cha shilingi milioni 350.   Wafanyakazi hao wamemuomba

Walimu Wawili Wapandishwa Kizimbani Kwa Tuhuma za Mauaji ya Mwanafunzi

Posted by - November 6, 2020

Walimu Wawili Wapandishwa Kizimbani Kwa Tuhuma za Mauaji ya Mwanafunzi November 6, 2020 by Denis Mtima Walimu wawili wa  Shule ya Awali na Msingi ya Holly Cross Nursery iliyopo Temeke jijijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kudaiwa kumuua mwanafunzi wa Shule hiyo, Cathbert Chawe. Washtakiwa hao

Amber Lulu Awapa za Chembe Wanaume Hawa

Posted by - November 6, 2020

Amber Lulu Awapa za Chembe Wanaume Hawa November 6, 2020 by Global Publishers MTOTO mzuri kunako Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ amewapa za chembe baadhi ya wanaume wanaopendwa kulelewa almaarufu wanaume-marioo.   Msanii huyo ambaye kwa sasa anatamba na Ngoma ya Kiboko ameliambia Gazeti la IJUMAA kuwa, hatamani kutembea na mwanaume wa Kibongo kutokana

Ndugai Apendekezwa Spika wa Bunge,Tulia Naibu

Posted by - November 6, 2020

Ndugai Apendekezwa Spika wa Bunge,Tulia Naibu November 6, 2020 by cshechambo   Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya  Chama cha Mapinduzi  CCM ambayo iliketi jana Dodoma  imempongeza Rais John Magufuli kwa kushinda kiti cha urais kwa muhula wa pili ya mwaka 2020-25.   Pia imewapendekeza Job Ndugai kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri

Shehe Mkuu Dar amvaa Ben Pol

Posted by - November 6, 2020

Shehe Mkuu Dar amvaa Ben Pol November 6, 2020 by Global Publishers SHEHE Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salim amemvaa na kumuonya staa wa Bongo Fleva, Benard Paul ‘Ben Pol’ ambaye hivi karibuni zilisambaa picha mitandaoni ikisemekana amebadili dini kutoka Ukristo na kuingia Uislam.   Hata hivyo, kabla ishu hiyo iliyoshtua

vivo Y20 Is Now Available in Kenya for Ksh 14,000

Posted by - November 6, 2020

vivo smartphone has officially announced the availability of its latest mid-range smartphone the vivo Y20 in Kenya with official sales going live today on vivo Kenya brand stores and dealers countrywide. Priced at Ksh 13,999, the device will also be live on Jumia. The mid-range device comes with advanced features for performance, a premium design,

Mashabiki wa Yanga, Simba watupiana maneno, K/koo Derby (+Video)

Posted by - November 6, 2020

Kuelekea Kariakoo Derby au Derby ya Dar es Salaam mashabiki wa soka nchini wamekuwa na mitazamo tofauti hususan wale wa Yanga na Simba ambao kesho wanatarajiwa kumiminika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam kuwashuhudia mchezo huo unao wakutanisha miamba ya soka nchini. Posted from

Kagere, Morrison, Chama, Mugalu kuikosa Yanga kesho (+Video)

Posted by - November 6, 2020

Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Sven Vanderbroeck amesema kuwa katika mchezo wao wa hapo kesho dhidi ya mtani wao Yanga SC kikosi chake kitawakosa baadhi ya nyota akiwemo, Kagere, Morrison, Chama, Chris Mugalu kutokana na kuwa na majeruhi huku wengine wakiwa katika majukumu ya timu zao za taifa. Posted from

Watoto wa Trump wawashutumu wanachama wa Republican kwa ‘usaliti’

Posted by - November 6, 2020

Wana wawili wa kiume wa Rais Donald Trump wamewashutumu wanachama wa Republican kwa kutomuunga mkono rais anapokabiliwa na ushindani mkali kutetea mhula wa pili madarakani. Donald Trump Jr., speaks as he tapes his speech for the first day of the Republican National Convention from the Andrew W. Mellon Auditorium in Washington, Monday, Aug. 24, 2020.