Yanga vs Simba: Juma Nature, Temba na KR wakipiga show (+Video)

Posted by - November 7, 2020

Wasanii wa muziki @sir_nature , @mhtemba na KR walifanya show ya nguvu mbele ya mashabiki wa Simba ya Yanga kabla ya mchezo kuanza. The post Yanga vs Simba: Juma Nature, Temba na KR wakipiga show (+Video) appeared first on Bongo5.com. Posted from

Harmonize alivyotua kwa Mkapa na jeshi lake, Yanga wampa heshima (+Video)

Posted by - November 7, 2020

Msanii wa muziki @harmonize_tz ametua uwanja wa Mkapa jijini Dar es salaam akiwa na team yake ya @kondegang ambapo mashabiki wa Yanga walionekana kumpokea kwa shangwe kubwa. The post Harmonize alivyotua kwa Mkapa na jeshi lake, Yanga wampa heshima (+Video) appeared first on Bongo5.com. Posted from

Diamond, Zari na watoto wao watua kwa Mkapa, Yanga 1 – 1 Simba (+Video)

Posted by - November 7, 2020

Msanii wa muziki @diamondplatnumz pamoja na @zarithebosslady pamoja na watoto wao wawili @princess_tiffah na @princenillan ametua uwanja wa Mkapa jioni ya leo kwaajili ya kushuhudia mechi ya watani wa jadi kati ya Simba na Yanga. The post Diamond, Zari na watoto wao watua kwa Mkapa, Yanga 1 – 1 Simba (+Video) appeared first on Bongo5.com. Posted from

Kocha wa Simba akizungumzia sare dhidi ya Yanga (+Video)

Posted by - November 7, 2020

Kocha wa @simbasctanzania ameuzungumzia mchezo wa leo dhidi ya @yangasc baada ya timu hizo kutoka sare ya 1-1. The post Kocha wa Simba akizungumzia sare dhidi ya Yanga (+Video) appeared first on Bongo5.com. Posted from

3 New Government Job Opportunities SONGWE at Momba District Council – Various Posts

Posted by - November 7, 2020

KAZI ZA HALMASHAURI 2020 Jobs in Tanzania 2020: New Government Job Opportunities SONGWE at Momba District Council 2020 Kibondo District Council Jobs 2020 Government Job Opportunities Momba District Council October 2020, Ajira Mpya Momba 2020, Nafasi Za Kazi Serikalini 2020 Songwe is a region of Tanzania created on 29 January 2016 from the western half

Yanga Simba Hakuna Mbabe, Watoka Sare

Posted by - November 7, 2020

Yanga Simba Hakuna Mbabe, Watoka Sare November 7, 2020 by cshechambo Mechi ya Kariakoo Derby ambayo ni ya Ligi Kuu Bara,  kati ya Watani wa Jadi Yanga Sc dhidi ya Simba Sc imemalizika leo jioni Novemba  7, kwenye dimba la Mkapa kwa sare ya bao 1-1, mechi ambayo imewafanya mashabiki kupokezana kushangilia, wana Jangwani wakicheza