Rais Magufuli Awashukuru Watanzania – Global Publishers

Posted by - November 8, 2020

Rais Magufuli Awashukuru Watanzania November 8, 2020 by cshechambo   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mhe.Mama Janeth Magufuli leo ameshiriki misa ya Dominika ya 32 ya mwaka A katika Parokia ya Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Chamwino. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John

NECTA Yatoa Ratiba ya Mitihani ya Kitaifa, 2020

Posted by - November 8, 2020

NECTA Yatoa Ratiba ya Mitihani ya Kitaifa, 2020 November 8, 2020 by cshechambo Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza ratiba ya mitihani ya kidato cha pili ambayo itaanza kesho Novemba 9 hadi Novemba 20, 2020 katika shule za sekondari 4,948 Tanzania Bara.   Akizungumza na wanahabari leo Novemba 8, 2020 Katibu Mtendaji wa Baraza

Lema Akamatwa Kenya Akitafuta Hifadhi

Posted by - November 8, 2020

Lema Akamatwa Kenya Akitafuta Hifadhi November 8, 2020 by Global Publishers   Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema amekamatwa na Polisi katika Kaunti ya Kajiado nchini Kenya baada ya yeye na familia yake kuvuka mpaka wa Namanga. Maafisa wa Uhamiaji walikatas kugonga muhuri nyaraka zilizowasilishwa na mke

Wolper Ashtushwa na Wanaofuatilia Mimba Yake

Posted by - November 8, 2020

Wolper Ashtushwa na Wanaofuatilia Mimba Yake November 8, 2020 by Global Publishers PISI kali Bongo Muvi, Jacqueline Wolper amesema kuwa anashangaa sana kuona watu wengi wanaisubiria mimba yake kwa hamu wakati mimba za mastaa wengine hajawahi kusikia foleni hiyo ya watu.   Akizungumza na MIKITO NUSUNUSU, Wolper amewatoa hofu watu hao kwa kuwaambia, suala la

Rais Mwinyi Ateua Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar

Posted by - November 8, 2020

Rais Mwinyi Ateua Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar November 8, 2020 by cshechambo     Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi @dr.hmwinyi amemteua Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar   Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na

Somo kwa Mastaa wanaopenda kuganda Mizia

Posted by - November 8, 2020

Somo kwa Mastaa wanaopenda kuganda Mizia November 8, 2020 by Global Publishers   Kwa kipindi kirefu sasa imekuwa ni jambo la kawaida sana kwa wasanii wetu kutumia midundo ya wasanii mbalimbali kutoka nje ya Tanzania kisha kuingiza mashairi yao na kuwa wamiliki wa nyimbo hizo. Inafahamika vizuri kwamba jambo hili ni kinyume na utaratibu wa

NECTA yatoa ratiba ya mitihani 

Posted by - November 8, 2020

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza ratiba ya mitihani ya kidato cha pili ambayo itaanza kesho Novemba 9 hadi Novemba 20, 2020 katika shule za sekondari 4948 Tanzania Bara. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dkt. Charles Msonde. Akizungumza na wanahabari leo Novemba 8, 2020 Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dkt.