Prime Bank and SimbaPay partner for instant international money transfer

Posted by - November 9, 2020

Kenya’s private bank Prime Bank has partnered with London-based fintech SimbaPay, to launch an instant international money transfer service via the bank’s digital platform PrimeMobi. Through SimbaPay, Prime Bank customers will now be able to instantly and securely send money directly to bank accounts or mobile wallets across 15 countries in Africa, Europe, and Asia

Diamond kusimama kimuziki kisa watoto wake ? mama Dangote, Esma wamsifia Zari Mobetto Tanasha wapewa makavu (+Video)

Posted by - November 9, 2020

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz kwa takribani wiki sasa ameonyesha furaha yake baada ya kutua watoto wake wawili kutoka nchini Afrika Kusini ambao alitengana nao kwa takribani miaka miwili sasa. Diamond alikuwa anatamani sana siku moja watoto wake waje kumsalimia kutokana na yeye kutengana na mama watoto wake Zari. Baada ya kutua

Credit Bank Receives 2 awards as Best SME and Best Mobile Bank

Posted by - November 9, 2020

Credit Bank Plc, Kenya’s leading SME bank, has received the ‘Best SME Bank in Kenya’ and ‘Best Mobile Banking in Kenya’ awards from International Business Magazine. The International Business Magazine Awards recognize the best in class achievements pertaining to global leaders and corporates across varied spheres in the International Business and Finance Arena. The judging

Polisi yaelezea suala la Lema kutishiwa maisha

Posted by - November 9, 2020

Kauli hiyo ameitoa hii leo Novemba 9, 2020, wakati akizungumza kwenye kipindi cha SupaBreakfast ya East Africa Radio, hii ni baada ya taarifa kusambaa kwamba Lema anashikiliwa nchini Kenya, baada ya kuingia bila kuwa na nyaraka muhimu. “Usalama wake hauko hatarini, yuko sawasawa tu na hakuna tishio lolote dhidi ya maisha yake”, amesema Kamanda Hamduni.

JPM: RC na DC msiwe na wasiwasi na inawezekana pasitokee mabadiliko yoyote labda atakayefanya mambo ya hovyo (+Video)

Posted by - November 9, 2020

Magufuli ameyasema hayo leo Novemba 9, 2020. kwenye hotuba yake baada ya kumwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. Adelardus Kilungi Ikulu Chamwino, jijini Dodoma. Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. Adelardus Kilungi akila kiapo mbele ya Rais Magufuli “Wakuu wa mikoa na wilaya msiwe na wasiwasi na inawezekana pasitokee mabadiliko yoyote labda kwa atakayestaafu au atakayefanya mambo

Vivo Y20 is Now on Sale in Kenya Priced at Ksh 13,999

Posted by - November 9, 2020

vivo smartphone has officially announced the availability of its latest mid-range smartphone the vivo Y20 in Kenya with official sales going live today on vivo Kenya brand stores and dealers countrywide. Priced at Ksh 13,999, the device will also be live on Jumia. The mid-range device comes with advanced features for performance, a premium design,

Chanjo ya kwanza yenye uweza wa kuzuia Corona kwa 90%

Posted by - November 9, 2020

Chanjo ya kwanza ya virusi vya corona ambayo inaweza inaweza kuzuia zaidi ya asilimia 90 ya watu kupata Covid-19, utafiti wa awali umebaini. Wavumbuzi – Pfizer na BioNTech -wanaelezea kuwa ni siku nzuri kwa wanasayansi na kila mtu. Chanjo yao imewafanyia jaribio watu 43,500 kutoka nchi sita na hakuna wasiwasi wa usalama wao ulioibuka. Makampuni

Samuel Eto’o anusurika kifo – Bongo5.com

Posted by - November 9, 2020

Mshindi mara nne wa tuzo ya mchezaji bora Afrika Samuel Eto’o amenusurika kifo katika ajali ya gari iliyotokea siku ya Jumapili wakati akielekea mji wa kibiashara nchini Cameroon wa Douala, kwa mujibu wa wanafamilia wake. Alikuwa akirejea kutoka mji wa Bafoussam, Magharibi mwa Cameroon, ambako alihudhuria tamasha mwishoni mwa juma. Dereva alisema kuwa alishindwa kulidhibiti

New Government Job Opportunities Manyara at Kiteto District Council – Various Posts

Posted by - November 9, 2020

KAZI ZA HALMASHAURI 2020 Jobs in Tanzania 2020: New Government Job Opportunities Manyara at Kiteto District Council 2020 Kiteto District Council Jobs 2020 Government Job Opportunities Kiteto District Council October 2020, Ajira Mpya Kiteto 2020, Nafasi Za Kazi Serikalini 2020 Manyara Region is one of Tanzania’s 31 administrative regions. The regional capital is the town