Rais Magufuli ampongeza rais mteule wa Marekani Joe Biden,tutaendeleza ushirikiano wetu

Posted by - November 11, 2020

Rais Magufuli amempongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wa Rais Mteule, Kamala Harris kwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa Nchi hiyo, JPM amewahakikishia Wateule hao kuwa Tanzania itaendelea kuuthamini uhusiano uliopo baina yake na Nchi ya Marekani. On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect @JoeBiden and Vice

Kauli ya Lema akiwa Kenya: Mimi sijakimbia njaa wala sijakimbia kodi, nimekuja kutafuta hifadhi ya uhai wangu (+Video)

Posted by - November 11, 2020

Kwa mujibu wa wakili wake, George Wajackoyah, Lema ambaye alikua ameambatana na familia yake alikua akielekea jijini Nairobi kwa ajili ya kutafuta makazi ya muda baada ya kutishiwa maisha. Sasa mamlaka za kenya zimemruhusu Lema na familia yake kubaki nchini Kenya wakati akiendelea na taratibu za kuwa mhamiaji wa muda. https://www.instagram.com/p/CHcRRySBHiL/ https://www.instagram.com/p/CHcRRySBHiL/ The post Kauli

Odibets announces major support for Harambee Stars ahead of crucial match on Wednesday

Posted by - November 11, 2020

Betting firm Odibets on Tuesday gave a morale boost to the football national team Harambee Stars ahead of their qualifier match against Comoros on Wednesday evening. This was after Football Kenya Federation (FKF) president Nick Mwendwa announced that the betting firm would financially support Harambee stars ahead of their qualifier match.  The partnership as revealed by

Video: Nape, Makamba na wabunge wengine wala kiapo cha uaminifu

Posted by - November 11, 2020

Kiapo cha uaminifu kinaendelea kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambalo ni la 12. Leo ni siku ya pili kwa wabunge kula kiapo cha uaminifu ambapo miongoni mwao akiwemo Januari Makamba na Nape Moses Nnauye. The post Video: Nape, Makamba na wabunge wengine wala kiapo cha uaminifu appeared first on Bongo5.com.

Beki wa zamani Liverpool aishauri United kumuuza Pogba

Posted by - November 11, 2020

Aliyekuwa beki wa Liverpool Jamie Caragher anaamini kwamba Man United inafaa kumuuza kiungo wa kati wa Ufaransa Paul Pogba 27. (Talksport) Arsenal ni miongoni mwa baadhi ya klabu ambazo zinamuwania mshambuliaji wa Sao Paulo na Brazil Brenner, 20. (Calciomercato – in Italian) Manchester United huenda ikawasilisha ombi la kumsajili kiungo wa kati wa Aston Villa

Can the digital economy decrease Africa’s inequality?

Posted by - November 11, 2020

As our nascent digital economy emerges, we have seen signs that enormous possibilities exist for it to reduce the many divides in our society. From the education gap and a shortage of technological and technical skills to poor ICT access in rural areas, the digital economy has the potential to help bridge the inequality gap

Swvl Kenya offers Commuters new Innovations for Travel

Posted by - November 11, 2020

Swvl Kenya today announced starting to roll out a new innovation that will allow commuters to use Swvl for long distance travel in Kenya. The new service called Swvl Travel will offer commuters the chance to book and pay for their upcountry trips going forward to over 12 destinations including Naivasha, Nakuru, Molo, Eldoret, Narok,

Genius Kadungure ‘Ginimbi’ kuzikwa na gunia la dola

Posted by - November 11, 2020

Marafiki wa milionea raia wa Zimbwabwe, Genius Kadungure aliyejulikana kama Ginimbi katika mitandao ya kijamii, wamesema atazikwa na gunia lilojaa Dola, vyombo vya habari nchini humo vimeripoti. Genius Kadungure ‘Ginimbi’ kuzikwa na gunia la dola, mazishi yaahirishwa kwa wiki mbili Mfanyabiashara huyo aliyeishi maisha ya kifahari aliacha maagizo hayo kwa wanachama wa “all-white funeral”, kama