Smishing attack tells you “mobile payment problem” – don’t fall for it!

Posted by - November 13, 2020

As we’ve warned before, phishing via SMS, or smishing for short, is still popular with cybercriminals. Sure, old-fashioned text messages have fallen out of favour for personal communications, superseded round the world by instant messaging apps such as WhatsApp, WeChat, Instagram, Telegram and Signal. But for brief, one-off business communications such as “Your home delivery will arrive at

Utumbuaji majipu utaendelea- Rais Magufuli (+Video)

Posted by - November 13, 2020

“Miaka mitano iliyopita tuliwachukulia hatua za kinidhamu watumishi 32,555 na kuiwezesha Nchi yetu kushika nafasi ya kwanza kati ya Nchi 35 za Afrika kwa kupambana na Rushwa, kwa kifupi niseme utumbuaji majipu utaendelea” Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kuangalia video bofya HAPA Posted from

Watakao kwamisha ujenzi wa viwanda tutawashughulikia – Rais Magufuli (+Video)

Posted by - November 13, 2020

“Watakao kwamisha ujenzi wa viwanda hivyo tutawashughulikia, Ilani ya Uchaguzi sitaki icheleweshwe na mtu yoyote” Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kuangalia video bofya HAPA The post Watakao kwamisha ujenzi wa viwanda tutawashughulikia – Rais Magufuli (+Video) appeared first on Bongo5.com. Posted from

KenTrade introduces support services to ease trade documentation processes for traders

Posted by - November 13, 2020

The Kenya Trade Network Agency (KenTrade), has introduced optional premium and support services to ease trade processes for traders in the contry. The state agency says the support services target traders who prefer the convenience of having their cargo clearance documents processed for them by the Agency’s Contact Centre staff. KenTrade CEO, Mr. Amos Wangora

Uchumi kukuzwa kwa asilimia 8 kwa mwaka, kutengenezwa ajira mpya mil. 8 (+Video)

Posted by - November 13, 2020

“Tunalenga kukuza uchumi wetu kwa wastani angalau asilimia 8 kwa mwaka na pia kutengeneza ajira mpya zipatazo milioni 8” Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kuangalia video bofya HAPA The post Uchumi kukuzwa kwa asilimia 8 kwa mwaka, kutengenezwa ajira mpya mil. 8 (+Video) appeared first on Bongo5.com.

Bima ya afya kwa kila mwananchi – Rais Magufuli (+Video)

Posted by - November 13, 2020

“Katika kipindi cha miaka mitano ijayo nimepanga kuhakikisha wananchi wote wanapata bima za afya zitakazowasaidia kupata matibabu mahali popote” Rais Dkt John MAGUFULI. Kuangalia video bofya HAPA The post Bima ya afya kwa kila mwananchi – Rais Magufuli (+Video) appeared first on Bongo5.com. Posted from

PayPal Starts Letting Users Buy and Sell Cryptocurrencies

Posted by - November 13, 2020

Last month, PayPal announced that it would start letting users buy, hold, and sell select cryptocurrencies on the platform. The platform’s merchants will also accept payment, but that will be available from 2021. Now, starting with users in the U.S, PayPal has started allowing the purchasing and selling of the virtual currency. In the US,

Vitambulisho vya Wajasiriamali kuwekwa picha – Rais Magufuli (+Video)

Posted by - November 13, 2020

”Katika miaka 5 ijayo tutaboresha vitambulisho vya wajasiriamali ikiwemo kuweka picha na taarifa nyingine ili waweze kutambulika. Tunataka Wajasiriamali wadogo kukua na kutambulika” Rais Dkt John Magufuli Kuangalia video bofya HAPA The post Vitambulisho vya Wajasiriamali kuwekwa picha – Rais Magufuli (+Video) appeared first on Bongo5.com. Posted from

My experience updating to macOS Big Sur

Posted by - November 13, 2020

This is for the cautious people who wait for us the impatient people to destroy our machines in the rush to have a new update. LOL. Anyway, if you’ve been holding back on updating to see how it goes for others, below I’ve shared my experience on how everything went down. However, before you read

Serikali kununua meli nane (+Video)

Posted by - November 13, 2020

“Mwaka huu tumetunga sheria mpya ya kusimamia kuendeleza uvuvi wa bahari kuu, tumepanga kununua meli nane za uvuvi kwa kushirikiana na shirika la IFAD, meli hizo nane, Nne zitakuwa upande wa Zanzibar na Nne zitakuwa upande wa Tanzania Bara, meli hizi zitashiriki katika uvuvi wa bahari kuu, pia tunakusudia kujenga bandari kubwa ya uvuvi itakayotoa