Esma Akiri Ndoa Yake Kuweka Rekodi

Posted by - November 14, 2020

Esma Akiri Ndoa Yake Kuweka Rekodi November 14, 2020 by Global Publishers USIKU ule wa Agosti Mosi, mwaka huu, hakuna mwenye roho nzuri ambaye hakutoa neno la hongera kwa mwanamama Esma Khan almaarufu Esma Platnumz alipokuwa akisherehekea kufunga ndoa yake ya tatu na mfanyabiashara tajiri wa jijini Dar, Yahaya Msizwa.   Esma ni mwanamama, mjasiriamali

Chama Apewa Mshahara wa Kufuru Simba

Posted by - November 14, 2020

Chama Apewa Mshahara wa Kufuru Simba November 14, 2020 by Global Publishers AMINI usiamini, sasa ni wazi kuwa zile kelele juu ya usajili wa kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama, zimeisha namna hii, baada ya kuvuja kwa siri ya kwamba tayari Simba imemalizana na mchezaji huyo kwa kumpatia mkataba wa miaka miwili, kwa dau nono

Ntibazonkiza Afanya Balaa Huko Burundi, Apiga Bonge la Bao

Posted by - November 14, 2020

Ntibazonkiza Afanya Balaa Huko Burundi, Apiga Bonge la Bao November 14, 2020 by Global Publishers KIUNGO mshambuliaji mpya wa Yanga, Mrundi, Said Ntibazonkiza, amethibitisha ubora wake kwa kuifungia timu yake bao la kusawazisha timu yake ya taifa ya Burundi ilipocheza dhidi ya Mauritania hivi karibuni.   Bao hilo alilifunga ugenini nchini Mauritania katika mchezo wa

AUDIO | Rocka Chi X Chimwaga – Wow | Download

Posted by - November 14, 2020

Home Audio AUDIO | Rocka Chi X Chimwaga – Wow | Download November 14, 2020 Download | Rocka Chi X Chimwaga – Wow [Mp3 Audio] Previous articleVIDEO | Rick C – Don’t Stop It Source link

PS5 and Xbox prices in Kenya are overpriced …?

Posted by - November 14, 2020

It is “next-gen” week. And if you’re in Kenya looking to buy the new PlayStation (PS5), or the Xbox Series X and Series S, you’re probably frustrated by three things: Getting a console before December is quite the dream! That’s reserved for countries like the US, and in Kenya for the very rich. Moreso, we

Kaze Aanza Kazi na Programu Maalumu Yanga

Posted by - November 14, 2020

Kaze Aanza Kazi na Programu Maalumu Yanga November 14, 2020 by Global Publishers     KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, ameanza kukinoa kikosi chake jana Alhamisi baada ya mapumziko mafupi huku akiwa na programu maalumu akisubiria nyota wake waliokuwa timu za taifa.   Yanga imeanza mazoezi jana Alhamisi tayari kwa kujiandaa na michezo ya

Sven Anasa Faili – Global Publishers

Posted by - November 14, 2020

Sven Anasa Faili November 14, 2020 by Global Publishers KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Sven Vandenbroeck, amewasikia wapinzani wake atakaokutana nao katika hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kutamka kuwa wanatakiwa kujiandaa kwa makini katika kuelekea mchezo huo. Simba ambayo inatarajiwa kuiwakilisha nchi katika Ligi ya Mabingwa Afrika, itapambana na Plateau FC

Maradona apelekea kliniki ya kurekebisha tabia ili aacha Pombe, zinahatarisha maisha yake (+Video)

Posted by - November 14, 2020

Mchezaji mkongwe Diego Maradona ametolewa hospitali siku ya Jumatano, na kuelekea kliniki ya kurekebisha tabia ili kuacha kutegemea pombe. Maradona, aliliongoza taifa lake katika mashindano ya kombe la dunia ya mwaka 1986,. Alifanikiwa kufanya upasuaji katika ubongo ili kuondoa kuganda kwa damu, mapema mwezi huu. Hata hivyo , tatizo la utegemezi wa pombe limemfanya akae