Mo Dewji Amaliza Utata Chama na Mukoko

Posted by - November 15, 2020

Mo Dewji Amaliza Utata Chama na Mukoko November 15, 2020 by cshechambo Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba Mohammed Dewji, amethibitisha kuwa mchezaji Clatous Chama, amesaini mkataba wa miaka miwili zaidi na klabu hiyo, awali kulikuwa na tetesi kuwa huenda angesajiliwa na watani zao Yanga.   Akiongea na waandishi wa habari ofisini

Zuchu Awafunika Wabunge – Global Publishers

Posted by - November 15, 2020

Zuchu Awafunika Wabunge November 15, 2020 by Global Publishers UMAARUFU na mafanikio ya msanii kinara wa kike kwa sasa kwenye Bongo Fleva, Zuhura Othman ‘Zuchu’, vinatajwa kuwafunika hadi wabunge wapya, wanawake walioingia Bungeni kwa mara ya kwanza mwaka huu. ZUCHU MWENYEWE ANASHANGAA Hata Zuchu mwenyewe anashangazwa na ripoti za mitandao mingi ya habari za mastaa

Benki ya NMB Ndani ya Dodoma!

Posted by - November 15, 2020

Benki ya NMB jana imeandaa hafla maalum jijini Dodoma ya kuwakaribisha Waheshimiwa Wabunge wote wa Bunge la 12, lililozinduliwa hivi karibu na Rais John Pombe Magufuli, kwa ajili ya kuwapongeza kwa kuchaguliwa kuwawakilisha wananchi na kuwatakia safari njema katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson akikaribishwa na Afisa Mtendaji

RC Kunenge Aungana na Wahindi Kuadhimisha Mwaka Mpya

Posted by - November 15, 2020

RC Kunenge Aungana na Wahindi Kuadhimisha Mwaka Mpya November 15, 2020 by cshechambo Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge leo ameshiriki hafla ya Mwaka Mpya wa Kihindu ambapo ametoa wito kwa Wahindi na wananchi kwa ujumla kuendelea kumuombea Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Aidha RC Kunenge ametoa Rai kwa wananchi

Siri ya Mondi, Tiffah Yaanikwa

Posted by - November 15, 2020

Siri ya Mondi, Tiffah Yaanikwa November 15, 2020 by Global Publishers MSANII Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi kuwa karibu zaidi na mwanaye Tiffah kuliko Nillan kuna jambo limejificha, Risasi Jumamosi limedokezwa siri. Tangu watoto wa msanii huyo aliyezaa na Zarinah Hassan ‘Zari’ raia wa Uganda kutua Bongo wakitokea Afrika Kusini walipokuwa wakiishi na mama yao,

Mchakato mabadiliko Simba wafika FCC – Mo atoa ufafanuzi (+Video) 

Posted by - November 15, 2020

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba SC, Mohammed Dewji amefafanua hatua iliyofikia timu mpaka sasa katika swala zima la mabadiliko ya kimfumo ambayo yataifanya kuwa kwenye mfumo wa hisa. Huku Mo akisema mchakato umefikia The Fair Competition Commission (FCC) . ”Mchakato upo FCC, sisi kama Simba tumemaliza kutoa document zote, tunawaongejea wao watupe muelekeo,

Mchungaji maarufu, Bushiri atoroka kesi Afrika Kusini

Posted by - November 15, 2020

Mchungaji maarufu barani Afrika, Bushiri ametoroka Afrika Kusini baada ya kuachiwa kwa dhamana. Mchungaji Bushiri, ambaye alisema kuwa anataka kusafisha jina lake, amerejea katika nchi yake, Malawi, akiwa na mke wake Mary. Mapema mwezi huu, alikuwa ameachiwa jela kwa dhamana baada ya kushtakiwa kwa utapeli na utakatishaji fedha. Alisema kulikuwa na majaribio kadhaa ya kutishia

Trump akiri Biden mshindi kwenye ‘tweet’

Posted by - November 15, 2020

Donald Trump alisisitiza kuwa hakubaliani na matokeo ya uchaguzi wa Marekani, lakini ameonekana kukubali matokeo kwa mara ya kwanza kuwa mpinzani wake wa Democrat Joe Biden ameshinda. “Ameshinda uchaguzi kwa kuwa mchakato wa uchaguzi ulikuwa wa wizi,” ameandika kwenye kurasa yake ya Twitter lakini baada ya dakika chache alisema hamaanishi kuwa alishindwa uchaguzi wa Novemba