Qualcomm Permitted to Supply Huawei with 4G Smartphone Chips

Posted by - November 16, 2020

Huawei’s smartphone business is anticipated to receive a life of breath after a recent license granted to Qualcomm by the US government. Qualcomm has been permitted to supply Huawei with “a number of products,” including 4G chips, the company said.  “We received a license for a number of products, which includes some 4G products,” a

Zari Ampiga Chini King Bae Wake wa Sauz

Posted by - November 16, 2020

Zari Ampiga Chini King Bae Wake wa Sauz November 16, 2020 by Global Publishers MREMBO na mwanamama Zari the Boss Lady amethibitisha kuachana na mwanaume wake aliyemtambulisha mtandaoni kama ‘King Bae’ ambaye alifikia hadi hatua ya kumvisha pete ya uchumba. Baada ya Zari kuachana na Diamond, Februari mwaka 2018, na hii ni baada ya Zari

Spoti Xtra Kuingia Mtaani kwa Kishindo Kesho

Posted by - November 16, 2020

Spoti Xtra Kuingia Mtaani kwa Kishindo Kesho November 16, 2020 by Global Publishers KAMPUNI ya Global Publishers inayojihusisha na uchapaji wa magazeti ya michezo ya Championi na Spoti Xtra, kwa kutambua kiu ya wasomaji wao kupata habari makini za michezo na burudani, kesho Jumanne inatarajiwa kufanya uzinduzi mkubwa wa gazeti jipya la michezo la Spoti

Affordable devices a big opportunity in driving 4G migration in Africa

Posted by - November 16, 2020

There are significant business opportunities in the mobile broadband space in building an ecosystem of affordable mobile devices to support user migration to 4G and 5G cellular network technology. This was the message emerging from the 5th Huawei Africa Mobile Broadband Salon taking place at the online Africacom Africa Tech Festival from 9-12 November. Delegates heard

Fuvu la Binadamu la Miaka Milioni 2 Lafukuliwa

Posted by - November 16, 2020

Fuvu la Binadamu la Miaka Milioni 2 Lafukuliwa November 16, 2020 by Global Publishers Watafiti kutoka Australia wamesema wamegundua fuvu la binadamu lenye miaka milioni mbili nchini Afrika Kusini ambalo litatoa ufahamu zaidi kuhusu mabadiliko ya binadamu. Fuvu hilo ni la mwanamme linaloitwa Paranthropus Robustus, ambalo ni spishi ya ‘binamu’ wa Homo erectus, spishi inayodhaniwa

Njia Waliyopita Tanzania U17 Hadi Kutwaa Ubingwa Cosafa

Posted by - November 16, 2020

Njia Waliyopita Tanzania U17 Hadi Kutwaa Ubingwa Cosafa November 16, 2020 by Global Publishers WIKIENDI iliyopita ilikuwa ni ya kitaifa zaidi kwenye anga la kimichezo, baada ya nyimbo za taifa kupigwa mara tatu katika maeneo tofauti. Dar es Salaam ulipigwa pale Next Door Arena, Hassan Mwakinyo akimkalisha Muargentina na kutetea taji la WBF. Lakini kule

[Column] From Survive to Thrive, working together for a better Africa

Posted by - November 16, 2020

For most of us, 2020 has been a year of almost dramatic, almost traumatic change. As individuals, our lives have been transformed; as businesses, our operating models have been revolutionised; and as a society, we have been shaken to the core. Fortunately, many of the technologies that have helped us through the worst of the

Mo Atenga Mamilioni ya Ubingwa CAF

Posted by - November 16, 2020

Mo Atenga Mamilioni ya Ubingwa CAF November 16, 2020 by Global Publishers MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, amesema kuwa ameandaa bajeti kubwa ya fedha itakayowawezesha kufi ka mbali na kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye msimu huu.   Hiyo ikiwa ni siku chache tangu droo ya Caf ifanyike

77 New Government Job Vacancies UTUMISHI at TANROADS, UDSM & TMDA Released Today 16th November, 2020

Posted by - November 16, 2020

WARNING Beware of Job Scammers! Please Never Pay Money To Get A Job! SHARE THIS POST ON WHATSAPP TAMISEMI | UTUMISHI | AJIRA PORTAL PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT (PSRS) Ref.No.EA.7/96/01/K/319 – Posted: 16th November, 2020 77 New Government Job Vacancies UTUMISHI at TANROADS, UDSM &  TMDA Released Today 16th November, 2020 NEW GOVERNMENT