Twaha Kiduku: Mwakinyo Asilewe Sifa

Posted by - November 17, 2020

Twaha Kiduku: Mwakinyo Asilewe Sifa November 17, 2020 by Global Publishers BONDIA Twaha Kiduku ameeleza kuukubali uwezo wa Hassan Mwakinyo na kumtaja kuwa ni bondia bora ila akamtahadharisha asije akalewa sifa kwa mafanikio anayopitia sasa ulingoni.     Twaha bondia namba mbili kwa ubora nchini kwenye uzani wa super welter, nyuma ya Mwakinyo, amempongeza mpinzani

Ushauri wa Nature kwa Nandy, Zuchu

Posted by - November 17, 2020

Ushauri wa Nature kwa Nandy, Zuchu November 17, 2020 by Global Publishers JUMA NATURE amewashauri wasanii wa Bongofleva wanaotamba kwa sasa, Nandy na Zuchu, akiwataka kutobweteka na mafanikio waliyopata. Amewataka watenge muda wa kukutana na watangulizi wao akiwemo msanii Lady Jay Dee.   Nature ambaye ni msanii wa muziki wa Bongofleva wa siku nyingi nchini

Adrian Kenya launches webinar series engaging business leaders on 4IR

Posted by - November 17, 2020

Kenyan Technology and EPC solutions and service provider Adrian Kenya yesterday launched a webinar series aimed at exploring current technology trends and how enterprise leaders can respond to achieve growth.  Themed the Future of Technology:4IR and Africa the webinar series looks at the changes to how we live work and do business brought about by the convergence of

Twiga Mweupe Duniani Afungwa Kifaa cha Kumfuatilia

Posted by - November 17, 2020

Twiga Mweupe Duniani Afungwa Kifaa cha Kumfuatilia November 17, 2020 by Global Publishers TWIGA mweupe duniani huko kaskazini-mashariki mwa Kenya amewekewa kifaa cha kumfuatilia, wahifadhi mazingira wanasema.   Twiga huyo alisalia peke yake baada ya wawindaji haramu kumuua twiga wa kike na mtoto wake wa rangi hiyohiyo mnamo mwezi Machi katika kaunti ya Garissa nchini

Hatimaye Tecno Camon 16s Yazinduliwa Rasmi

Posted by - November 17, 2020

Hatimaye Tecno Camon 16s Yazinduliwa Rasmi November 17, 2020 by Global Publishers Msanii wa bongo Muvi Elizabeth Michael (LULU) akipiga selfie kwa TECNO CAMON 16s Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO imezindua rasmi  simu yake mpya toleo la CAMON 16s leo jijiini Dar es Salaam pamoja na kuwatambulisha mabalozi wa simu hiyo.    Akizungumza 

Huawei Confirms Selling its Honor Smartphone Business

Posted by - November 17, 2020

After multiple reports of Huawei planning to sell its Honor smartphone business unit, the company has finally confirmed that it wasn’t just a rumour. It has confirmed that it’s selling its Honor smartphone business to a “consortium of agents and dealers” at an unspecified figure. The deal has already been sealed, and the consortium of over

Spoti Xtra Jumanne Lapokelewa kwa Kishindo – (Pichaz + Video)

Posted by - November 17, 2020

Spoti Xtra Jumanne Lapokelewa kwa Kishindo – (Pichaz + Video) November 17, 2020 by Global Publishers KAMPUNI namba moja ya habari nchini, Global Publishers inayochapisha magazeti ya michezo ya Championi na Spoti Xtra, kwa kutambua kiu ya wasomaji wao kupata habari makini za michezo na burudani, leo Jumanne, Novemba 17, 2020, imezindua gazeti lake jipya

Gmail to start rolling out new data controls for smart features

Posted by - November 17, 2020

The end of the last decade saw regulatory scrutiny over privacy intensify and thus has compelled tech giants like Google and Facebook to allow users to have more control over their data – to some extent. While Google has rolled out several ways to help users manage their data and control what’s being shared, the