Kocha Kaze aihofia Namungo – Global Publishers

Posted by - November 21, 2020

Kocha Kaze aihofia Namungo November 21, 2020 by Global Publishers CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kuwa anatambua ubora wa wapinzani wake Namungo FC ambao atakutana nao, Novemba 22, Uwanja wa Mkapa jambo ambalo limemfanya atafute mbinu ya kupata matokeo kwenye mchezo huo.   Yanga ikiwa nafasi ya pili na pointi 24, inakutana na

New Job Opportunities at Job Junction Tanzania – Supervisor Officers

Posted by - November 21, 2020

WARNING Beware of Job Scammers! Please Never Pay Money To Get A Job! SHARE THIS POST ON WHATSAPP Position: SUPERVISOR OFFICERSDetailsEmployer name : JOB JUNCTION TANZANIAWork Type : Full TimeYears of Experience 1 yearLocation: Dar es Salaam District Dar Es SalaamMinimum Qualification: DiplomaRecommended:PAST PAPERS ZA DARASA LA 7 MPAKA FORM SIX | NECTA AND MOCK EXAMS

Kambi ya Yanga Balaa – Global Publishers

Posted by - November 21, 2020

Kambi ya Yanga Balaa November 21, 2020 by Global Publishers UPO uwezekano mkubwa wa Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, kupangua kikosi chake cha kwanza kitakachoivaa Namungo FC, keshokutwa Jumapili kwa kumuingiza kiungo mshambuliaji Carlos Fernandez ‘Carlinhos’.   Hiyo ni baada ya kiungo huyo kurejea kikosini akitokea kwenye maumivu ya kisigino aliyoyapata wakati timu

Tinampay Atua Dar, Amuhofia  Pialali

Posted by - November 21, 2020

Tinampay Atua Dar, Amuhofia  Pialali November 21, 2020 by Global Publishers Arnel Tinampay alivyotua Dar. Arnel Tinampay raia wa Ufilipino tayari ametua nchini kwa ajili ya pambano lake na Mtanzania, Idd Pialali huku akitamka wazi mpinzani wake ana uwezo mkubwa wa kutembea ndani ya ulingo lakini haiwezi kumtisha. Bondia huyo amewasili nchini jana Jumamosi kwa

Zari Ajivunia Kuwaleta Watoto Bongo

Posted by - November 21, 2020

Zari Ajivunia Kuwaleta Watoto Bongo November 21, 2020 by Global Publishers ROHO ya mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, sasa ni kwatu baada ya kufanikisha zoezi la kuwaleta wanawe, Latifah Nasibu ‘Tiffah Dangote’ na Nillan Nasibu ‘Prince Nillan’ kwa baba yao, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.   Taarifa ikufikie kwamba, Zari anajivunia mno kufanikisha kuwaleta

 Stars yanogesha dili la Fei Toto, TP Mazembe

Posted by - November 21, 2020

 Stars yanogesha dili la Fei Toto, TP Mazembe November 21, 2020 by Global Publishers     DILI la kujiunga na TP Mazembe ya DR Congo, la kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ limenoga zaidi huko Yanga, ambapo taarifa zimeeleza kuwa tayari viongozi wa klabu hiyo wameshawasilisha dau na kumnasa kwenye dirisha la usajili lijalo.

Top 10 SHULE BORA – Best Schools in Standard Seven Results 2020

Posted by - November 21, 2020

WARNING Beware of Job Scammers! Please Never Pay Money To Get A Job! SHARE THIS POST ON WHATSAPP   MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 NECTA Standard 7 Exams Results 2020  | MATOKEO DARASA LA SABA 2020 | NECTA PSLE Results 2020 THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA The National Examination Council of Tanzania (NECTA) Baraza

AUDIO | Young Lunya – Fimbo | Download

Posted by - November 21, 2020

Home Audio AUDIO | Young Lunya – Fimbo | Download November 21, 2020 Previous articleVIDEO | Young Lunya – Fimbo Next articleDanceVideo | Nandy X Billnass – Do Me Source link