Tazama Orodha ya Madiwani Wote wa Viti Maalum CCM

Posted by - November 22, 2020

Tazama Orodha ya Madiwani Wote wa Viti Maalum CCM November 22, 2020 by cshechambo Chama Cha Mapinduzi CCM kimetoa Orodha ya Madiwani wote wa viti maalum kwa nchi nzima Bonyeza link kutazama orodha hiyo.  Toa comment Posted from

Mo Music wa Basi Nenda, Amekwenda Kwelikweli

Posted by - November 22, 2020

Mo Music wa Basi Nenda, Amekwenda Kwelikweli November 22, 2020 by Global Publishers MARA nyingi imetokea kwa wanamuziki wa kada mbalimbali duniani kuwika na ngoma moja tu matata mno ya kiwango cha Dunia kisha kupotea. Hili limeonekana ni tatizo kubwa. Uchunguzi wa IJUMAA SHOWBIZ umebaini si kwamba huwa hawatoi mikwaju mingine mikali, lakini tatizo linakuwa

Hebu Cheki Miyeyusho Alivyomchapa Mpinzani Wake Kwa TKO Mbaya

Posted by - November 22, 2020

Hebu Cheki Miyeyusho Alivyomchapa Mpinzani Wake Kwa TKO Mbaya November 22, 2020 by Bukos BONDIA Francis Miyeyusho jana alimtwanga kwa TKO, mpinzani wake, Deo Samweli katika pambano la raundi 8, lililopigwa Uwanja wa Kinesi uliopo Ubungo Shekilango Jijini Dar.   Katika pambano hilo mabondia hao walioneshana upinzani mkali mpaka raundi ya mwisho kila mmoja akimuonesha

Pialali, Tinampay Wakutana – Global Publishers

Posted by - November 22, 2020

Pialali, Tinampay Wakutana November 22, 2020 by cshechambo Bondia wa ngumi za kulipwa Bongo, Idd Pilali hatimaye wikiendi iliyopita alikutana kwa mara ya kwanza na mpinzani wake, Arnel Tinampay kwenye (Face Off) iliyofanyika kwenye uwanja wa Urafiki zamani Kinesi, uliopo Sinza Dar, ikiwa ishara ya kuelekea Novemba 28 katika usiku wa Dar Boxing Derby kwenye

CRB Status; How to check Your CRB Status in Kenya

Posted by - November 22, 2020

CRB Status is basically the status of your loan repayments. The Credit Reference Bureau (CRB) is a platform that enables employers and loan or credit providers to check your payment status i.e. whether you are a defaulter of if you pay your dues. CRB Clearance  is a requirement now days whether you are applying for

Nugaz Ashushiwa Rungu na Bodi ya Ligi, Apigwa Faini

Posted by - November 22, 2020

Nugaz Ashushiwa Rungu na Bodi ya Ligi, Apigwa Faini November 22, 2020 by cshechambo Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtoza fainali ya shilingi 500,000, Afisa Mhamasishaji na Msemaji wa klabu ya Yanga Antonio Nugaz.   kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi ya ligi,Nugaz ametozwa faini

MUSIC VIDEO: Lavalava –Ipekeche 

Posted by - November 22, 2020

Msanii wa Bongo Fleva kutoka kundi la WCB, Lavalava ameachia video ya wimbo wake mpya wa Ipekeche. Video imeongozwa na Kenny chini ya Zoom Extra wakati wimbo ukizalishwa na Lizer Classic. The post MUSIC VIDEO: Lavalava –Ipekeche  appeared first on Bongo5.com. Posted from

Wafahamu wanaoongoza kwa magoli VPL 

Posted by - November 22, 2020

Mara baada ya kupigwa michezo minne hapo jana siku ya Jumamosi Nahodha wa @simbasctanzania, @john_22_bocco amefanikiwa kuongoza katika ufungaji wa magoli ya ligi kuu soka Tanzania Bara baada ya kufikisha jumla ya mabao saba (7). Bocco anaongoza akimshusha aliyekuwa akishikilia nafasi ya kwanza, Adam Adam kwenye mchezo dhidi ya Coastal Union ambapo nyota huyo wa

Mahakama Pennsylvania yatoa maamuzi upingaji matokeo 

Posted by - November 22, 2020

Mahakama moja huko Pennsylvania imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na timu ya Trump inayopinga matokeo ya uchaguzi ambayo ilikuwa inataka kura zilizopigwa kwa njia ya posta katika jimbo hilo zifutiliwe mbali. Jaji Matthew Brann alisema kesi hiyo ambayo imeegemea wizi wa kura haikuwa na “msingi wowote”. Hatua hiyo inawezesha rais mteule kuidhinishwa kuwa mshindi wa jimbo