SOCIAL MEDIA

#EmTVNews; Rapa Na Producer @mabeste_tanzania ametusogezea story yake fupi aliyo…

By

on


#EmTVNews; Rapa Na Producer @mabeste_tanzania ametusogezea story yake fupi aliyowahi kukumbana nayo kwenye maisha ya mapenzi hadi kupelekea kukata tamaa ya kuishi!

Mabeste ametusogezea story hii ikiwa leo amatimiza miaka kadhaa toka kuzaliwa kwake, Ambapo kupitia kwenye Ac #instagram yake ameandika

”Afya Nzuri zaidi ya Jana. Akili imepevuka zaidi ya Jana. #MUNGUWANGU Hakuna PITO ULILO nipitisha lisio na faida kwangu. But katika majaribu yote #MUNGU Hakuna Jaribu nililo lionaga Gumu,Gumuuu mpaka nikakataga tamaa ya KUISHI KABISA na kuto kujuwa jinsi ya Kulivuka Kama Lile Jaribu la #KUACHWA NA MWANAMKE ALIE KUWA MKE,

NA KUSALITIWA NA RAFIKI YANGU NILIO MPENDA NA KUMTHAMINI KAMA MDOGO WANGU NA KUMUAMINI SANA HAPO AWALI… Kwa Akili ya kibinadamu sidhani Kama ningeweza kabisa. Ila kwa uweza wako #MUNGU niliweza na nikavukaaa,Na nimepata Elimu ndani yake katika hili Jaribu,Nimeweza kuona Ukuu Wako #MUNGU kupitia hili Jaribu, Umenivusha kwenye Mambo Ambayo kwa akili ya kibinadamu nisinge Weza kuvuka, Naamini #MUNGU wangu unakusudi na Mimi Tena Kusudi Kubwa Sana.

Asante sana #Mungu baba kwayote. NIMEELIMIKA KUPITIA MAPITO ULIO NIPITISHA #MUNGU , KUPITIA HAYA NIMEJIFUNZA NA KUJUWA MAANA HALISI YA KUISHI NI KUMTUMIKIA #CRISTO NA KIFO NI ZAWADI YETU SISI WANADAMU🙏
.
NAWEWE MSOMAJI PLEASE JIFUNZE KITU KUPITIA HILI NA UWELIMIKE KUPITIA HILI PITO NILILO PITIA MIMI ILI UKAWE MSAADA KWA WENGINE KATIKA MEMA🙏 . Asante kwa neema yako BABA 🙏 HAPPY BIRTHDAY TO ME , LEO NIMEZALIWA TENA KIROHO ZAIDI.🙏 ”

#ErastoMashauri
#MrExclusiveErastoMashauri
#MrUpdatesErastoMashauri
#EmTVNews
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#diamondplatnumz #kajala #harmonize #zanzibar #kondegang4everybody #definitionoflove #paulakajala #rayvanny #carrymastory #sukari #simba #yanga #Corona #covid_19 #millardayo #wasafidigitalSource

About Erick

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *