Habari njema kwa wateja wetu wote @unique_aircargo ,tunapenda kuwataarifu kuwa baada ya likizo fupi ya sikukuu ya mwaka mpya wa kichina
Sasa tumerudi tena🛫🛫🛫
Tunapenda kuwakaribisha sana kutuma mizigo yenu kupitia kampuni yetu pendwa kabisa ya @unique_aircargo 🤝🤝karibu tukusafirishie mizigo yako kwa uhakika na salama kutoka china 🇨🇳 kuja mpaka Nyumbani kwako Tanzania🇹🇿 🛫🛫🛫🛫🛫🛫🛫🛫🛫🛫
Address yetu ni 广州市荔湾区 岭南湾畔 西湾路.湾畔大街C1栋1206 (马查)18617335150
Timiza malengo yako na @unique_aircargo
Karibuni sana✊🏾🤝🤝🤝🤝
#hmstudio #kariakoo #china #chinatrips #sokonindoautomobile #caseiphone #shotoniphone #cargo #cargopants
#air #tanzania🇹🇿 #mungu #mungusaidia #mkaliwenu
#carrymastory #covid_19