#UNAAMBIWA : Baada ya @harmonize_tz na @kajalafrida kuchora tattoo za herufi za mwanzo za majina yao ambazo kwa pamoja zinasomeka kama “HK” ,muheshimiwa @hamisi_kigwangalla ambaye kifupi cha jina lake ni “HK” amewatania kwa kutaka kuwashtaki baada ya kutumia herufi hizo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram muheshimiwa @hamisi_kigwangalla amepost picha yao na kuandika “BRAND YA โHKโ YAPORWA! Naombeni ushauri wenu, niende mahakamani ama nisamehe bure tu? ๐ #HK #NjeYaBox . @harmonize_tz , @kajalafrida mna lolote la kujieleza kabla sijachukua hatua? Ama wazee mnasemaje? @jembenijembe, @babutale , @sallam_sk ?”
โโโโโโโโโโโโโโโโโโโโ
าแดสสแดแดก แดแด แดแดกแด สแดสแดสษช แดแดสแด
โโโโโโโโโโโโโโโโโโโโ
________________________________________________
#RAHA #wolperstylish #WAAHchallenge #qtchallenge #mitikisikoyapwani #waah #sinema #wemasepetu #carrymastory #carrymastory_ #sumaphd #sumaphdupdate #udakutz_ #jumalokole #sinemazetu #joti #quarantine #sukari #millardayo #michambocity #udaku_magazine #bongotrendings #bongo5updates #qtmoves #wozachallenge
#NewsChamber
#EntertainmentChamber