Akon azindua rasmi ujenzi wa mji wake wa kisasa wa Akon City (+Video)

2 0

Mwanamuziki wa R&B anayeishi Marekani mwenye asili ya Senegal alimaarufu kama Akon amesema kuwa ataendelea na mpango wake wa kujenga mji wa Kisasa nchini humo ambapo anaufananisha na ule mji wa WAKANDA unaoonekana kwenye filamu maarufu ya Superhero #BlackPanther.

Siku ya Jumatatu alianzisha rasmi ujenzi wa mradi wa mji huo wa kisasa mjini Dakar.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *