Aliyeangukiwa na lori Akilitengeneza “Nimevunjika Mgongo” – Video

Hakika kabla hujafa hujaumbika na hivi ndivyo ambavyo imekuwa kwa kijana Samweli ambaye amelala kitandani kwa miaka 12 baada ya kuangukiwa na Lori akiwa analitengeneza na kusababisha kupata ulemavu wa miguu yake yote miwili ambapo kwa sasa hana uwezo wa kufanya chochote mpaka sasa.

 Toa comment