Aliyekatwa CCM Atoa Matairi Kusaka Kura za JPM

2 0Aliyekatwa CCM Atoa Matairi Kusaka Kura za JPM

Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Momba Mkoani Songwe, Ombeni Nanyaro (CCM) ameupatia uongozi wa chama hicho mkoa wa Songwe tairi mpya za gari ili zitumike kusaka kura za Rais Dkt. John Magufuli pande zote bila kizuizi chochote cha usafiri.


Nanyaro amemkabidhi tairi hizo Katibu wa CCM Mkoa wa Songwe, Mercy Mollel leo Agosti 31, 2020 na kuongeza kuwa kushindwa kuteuliwa kuwania Ubunge hakumfanyi kuacha kujenga chama na kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli.


Aidha, Katibu wa CCM Songwe, Mercy Molel amempongeza Nanyaro kwa moyo aliouonyesha mbaele ya chama na kwa Mh. Rais pamoja na Wagombea wengine wa CCM wa mkoa huo.Toa comment

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *