Arusha: Soko la Samunge lateketea kwa Moto

24 0

Soko la NMC Arusha maarufu kama Samunge linalokadiriwa kuwa na zaidi ya wafanyabiasha 2000 limetekekea kwa moto usiku wa kuamkia leo Machi 29, 2020.

Kwa mujibu wa Azam Tv, Moto huo umedhibitiwa lakini ukiwa umeunguza sehemu kubwa ya soko hilo, huku chanzo na hasra bado havijafahamika.

Posted from

Related Post

PUB YA AUNT YAMLIZA WEMA!

Posted by - November 7, 2019 0
PUB YA AUNT YAMLIZA WEMA! November 7, 2019 by Global Publishers WEMA Sepetu amesema hakuna kitu kilichomuuma na kumkosesha usingizi…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *