Kusah: Aunt Ezekiel Hana Mimba Yangu

Baada ya hivi karibuni kuhusishwa kuwa katika Mahusiano ya kimapenzi na Aunty Ezekiel , Msanii wa BongoFleva Kusah amekanusha swala hilo huku akisema hajui limetokea wapi.

Kusah amesema:- “Kwanza kabisa maneno mi Nayasikia, lakini mimi Aunty Ezekiel sio mpenzi wangu na hana ujauzito wangu na sijui hata ivyo vitu vinayokea wapi Labda kwa sababu ananisupport, Lakini hakuna kitu chochote kinachoendelea kati yetu,” alisema.

 

Kuhusu Maneno ya Shamsa Ford, Kusah amesema hajamuelewa , kwasababu hata kama kweli angekua na Mahusiano na Aunty Kusingekuwa na tatizo lolote kwasababu Aunty Hana ukubwa huo.Toa comment