Bad News: Moto Wazuka Mlima Kilimanjaro

 

 

Moto umezuka katika Mlima Kilimanjaro leo, Jumapili, Oktoba 11, 2020, mchana na jitihada za kuuzima bado zinaendelea.

 

Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA) kupitia akaunti yake ya Twitter imethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Aidha, chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa.

 

Endelea kufuatilia taarifa zetu kwa habari zaidi kuhusu tukio hili.Tecno


Toa comment