Basata walivyoizungumzia ishu ya Harmonize kutaka kuanguka ‘Ukitaka kuwa komando fanya mazoezi’ (Video)

1 0

Katibu Mtendaji wa @basata.tanzania Godfrey Mngereza amemsifia muimbaji @harmonize_tz pamoja na @diamondplatnumz kwa kuwa wabunifu kwenye show huku akizungumzia ishu ya rais huyo wa Konde Gang kutaka kuanguka.

Amesema hayo Jumatato hii kwenye ofisi za Baraza hilo Ilala Jijini Dar es salaam akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuwakumbusha wasanii suala la kujisajili.

Mngereza amewataka wasanii kufanya mazoezi kabla awajafanya matukio ili kuepusha kasoro kama iliyotokea kwa Harmonize.

Posted from

Related Post

Aajli Yaua 18 Kibiti Mkuranga

Posted by - April 15, 2020 0
Aajli Yaua 18 Kibiti Mkuranga April 15, 2020 by Global Publishers WATU 18 wamefariki na wengine 15 kujeruhiwa baada ya…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *