BREAKING: Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Komu Ajiondoa CHADEMA, Akumbatia UBUNGE

Leo Machi 29, 2020 Mbunge wa Moshi Vijijini, Anthony Calist Komu Ametangaza Kutogombea Ubunge katika uchaguzi mkuu 2020 kupitia CHADEMA badala yake atajiunga na NCCR – Mageuzi kwa kile alichodai kukosekana kwa uhuru wa kutoa maoni katika Chama chake cha sasa.

Image

Akizungumza na waandishi wa Habari katika Hotel ya Nepherland Magomeni Jijini Dar es salaam, Komu amedai kuwa anaamini Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA) kitatumia busara kumuacha amalizie majukumu yake ya kibunge kwa muda uliobakia kwani bado anahitaji kuwatumikia wananchi wake.

TOFAUTI na wengi huwa wanadai kulea ni kazi ngumu, kwa mrembo ambaye amewahi kushiriki Miss Tanzania aliye pia video queen, Husna Maulid kwa upande wake ameeleza kuwa ni mazuri hakuna ugumu wowote.

Image

Beki wa Portsmouth ya England mwenye asili ya Tanzania Haji Mnoga amebainisha afya yake inaendelea vyema baada ya vipimo kuonesha ameambukizwa Virusi vya Corona

Kanisa Katoliki nchini Italia linasikitika kutangaza vifo vya watu 9,134 kati yao kuna Mapadre zaidi ya 60 na Askofu mmoja waliopoteza maisha kutokana na ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na Virusi vya Corona, COVID-19. hadi kufikia leo 28 Machi 2020. #GlobalUpdates

Image
Toa comment